Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mpaka Sasa sijaona wa kumfikia kiranga.Mhaya yule ana mbwembwe sana. Sawa tu na wewe ukianza kutema kimalkia. Hapo na Nyani awepo. Na Kiranga... Utatu korofi wa Wasukuma watatu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi Kisukuma nakifahamu mpaka kile cha ndani kabisa. Narudia tena hilo siyo neno la Kisukuma. Likely ni Kisumbwa au lugha za huko huko kanda yenu. Usibishe !!!Mmmmh.
Ni kisukuma..acheni kunidanganya..
Lugha za mbeya huwezi unanidanganya hata moja..
Nazielewa vizuri
Wasukuma mna sifa Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Naona unajaa kichwa mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah.
Now ntapunguza kukusifia....
Nimeelewa tu I'm just[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hembu lete wewe huo ukweli unao ujuaAssumption
Hapana...labda rukwa au iringa na njombe ila sio mbeyaMimi Kisukuma nakifahamu mpaka kile cha ndani kabisa. Narudia tena hilo siyo neno la Kisukuma. Likely ni Kisumbwa au lugha za huko huko kanda yenu. Usibishe !!!
Who is your crush between those lads?
Yaani mpaka nimekuona laivu kabisa akilini mwangu. Na kwa vile taswira niliyokujengea ni matata sana basi tu nikakosa hata tamaa ya kuendelea kusoma hayo mengine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hayo uliyoyaacha ndio ya Maana.
Hili ilikuwa kuweka msisitizo tu kwamba hakuna mtu aliyenitafsiria
Hiyo ya mwanadada ilinivunja mbavuu sana[emoji1787][emoji1787]!! Ya laki mbili hiyo sijaionaMimi amenifurahisha ya juzi la utapeli wa laki mbili...
Kuna nyingine akasema aliona mwanadada hopeless anatumia simu km yake (sumsung gani sijui) eti akaiacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee..Lile kabila kwa kweli silipendi.
Hivi yule jamaa huwaga anaongea story za kweli!???
Ila kiboko Yao Ni kirangaUkiwa mzuri wa kufuatilia misamiati ya kiingereza mbona kinaeleweka vizuri tu
Mbona juzi tu amepost Uzi...akawa anawaponda wale waliotapeliana hela za memory [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu sijamsikia muda sasa
Aisee huyo Prof P. O. Lumumba anapenda sifa ni balaha.Nakuona Ewe Patrice Lumumba[emoji41][emoji41]
Nenda kaangalie.Hiyo ya mwanadada ilinivunja mbavuu sana[emoji1787][emoji1787]!! Ya laki mbili hiyo sijaiona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee huyo Prof P. O. Lumumba anapenda sifa ni balaha.
Aliwahi kuwa muadhiri na mkuu wa idara ya sheria chuo kikuu cha Nairobi, wanafunzi wake wanakwambia anavyoongeaga kwenye conferences mbali mbali ndio hivyo hivyo hata akiwa ana fundisha.
Yaani hili uweze kwenda nae sawa yapaswa ukae kamusi karibu.. Nilichoka nilivyoskia hayo.
Sifa zangu Ni zile zile pale juu.Yaani mpaka nimekuona laivu kabisa akilini mwangu. Na kwa vile taswira niliyokujengea ni matata sana basi tu nikakosa hata tamaa ya kuendelea kusoma hayo mengine.
Nakuja...[emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hakika Yule ndio muhaya sasa tena wa muleba.Mhaya yule ana mbwembwe sana. Sawa tu na wewe ukianza kutema kimalkia. Hapo na Nyani awepo. Na Kiranga... Utatu korofi wa Wasukuma watatu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na mariaYesuu[emoji1751][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
If your mediocre vacillanting feeble-mind couldn't even take a grip of my pellucid explanations i don't expect you to apprehend the frailty of your comprehension.
Stupid indeed.!! [emoji4][emoji4]
Sikuwa hata na haja ya kusoma hayo mengine. Nisipokuwa makini kweli ng'ombe wangu 70 watapigwa. Inabidi nigangamare aisee.
Mzee baba "umoroga" sio neno la kisukuma?Mimi Kisukuma nakifahamu mpaka kile cha ndani kabisa. Narudia tena hilo siyo neno la Kisukuma. Likely ni Kisumbwa au lugha za huko huko kanda yenu. Usibishe !!!