Halafu tabu mnapata wote hata ambaye ulikuwa nyumbani umelala, Mungu anawaonaSi kwa sababu wanaona 'hawana cha kupoteza' ndiyo maana wanakubali kirahisi wenyewe wanakwambia maumbile yanaruhusu eti sisi tusijilinganishe nao ila kinachoshangaza ni kwamba magonjwa hayachagui maumbile yanawashika wote na yanawaua wote kwa usawa!!
Mmeanza Tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]You are just taking me back to what I said earlier, I don't have to doubt my comprehension because I am absolutely sure that it is not frail.
Wewe funga tu mama.
Ila ukweli utabaki pale pale...na majibu niliyokupa Wala hayatabadilika.
Siyo neno la Kisukuma. Na Kisukuma hakina r. Kukaa kimya ni gufumula (Kinyantuzu) au kufumula (kinang'weli)...Mzee baba "umoroga" sio neno la kisukuma?
Kukaa kimya tunasemaje? hebu nikumbushe!
Umemaliza kila kitu mkuu.
Kuna singo maza mmoja aliniacha eti kapata pedeshee moja lenye mke na watoto juu linafanya kazi TISS kaenda huko kwa mbwembwe kupindua serikali mpaka ananitukana eti sina kifua kazalishwa na pedeshee limesepa sasa hivi yupo tu anahangaika kulea mwenyewe. Halafu pedeshee limegeuka katili linambonda vibaya sana. Hawa wa hivi kwa kweli hawahitaji kuonewa huruma. Shwaini zao kabisa na Mola Aendelee kuwaadhibu. Wako tayari kwenda kuharibu ndoa za wanawake wenzao kisa? Mwanamke msomi mcha Mungu unayejitambua kwa nini udate na mume wa mtu? Lengo lake ni nini kama siyo kumharibia mwanamke mwenziyo ndoa yake? Ujinga mtupu !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na maria
Aiseee...ngoja na Mimi nipate wa kuniuliza lugha yangu hapa..nianze kumuelekeza.Siyo neno la Kisukuma. Na Kisukuma hakina r. Kukaa kimya ni gufumula (Kinyantuzu) au kufumula (kinang'weli)...
But there must be one you have more crush on. whom one exactly?Both of them
Mungu alishafanya Jambo kwa mtu mwingine kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].God will do something hallelujah amen
Yule jamaa anajikubali utafikiri akitembea hagusi ardhi yaaniMimi amenifurahisha ya juzi la utapeli wa laki mbili...
Kuna nyingine akasema aliona mwanadada hopeless anatumia simu km yake (sumsung gani sijui) eti akaiacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji76]Napenda avatar tu io
Mnizubue na magumi huko..nataka Mimi magumi.Ngoma asee!! Umlete mtoto kolomije atupikie michembe na kukamua maziwa
Nenda kaangalie.
Utacheka uzimie...anasema wanaume wanapigizana kelele za kutapeliana laki 2 tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti wale wakina perimeter na youngkato[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani yule jamaa Ni comedian mzuri
Mhaya yule ana mbwembwe sana. Sawa tu na wewe ukianza kutema kimalkia. Hapo na Nyani awepo. Na Kiranga... Utatu korofi wa Wasukuma watatu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani..Yule jamaa anajikubali utafikiri akitembea hagusi ardhi yaani
Mzito kweli kuongea na kukandamiza nakandamiza haswaa kuliko hata Magu
Unasikia mwanamke anakwambia "babu we wanaume wenyewe wachache acha tushikilie hapo hapo akiwa ndani ndiyo wako ila akiwa nje ni wetu" yaani mimi nikisikia mwanamke anaongea maneno kama hayo huwa natamani hata nimchape makofi yaani mtu anajivunia kabisa kuwa mchepuko wa mtu?? Shenzi kabisa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Itabidi nianze kusoma post zake nikiwa peke yangu.... Maana nikiwa mbele za watu naishia kuonekana chizi
Ni lugha ya huko kwao. Ataachaje kuielewa?
Naye anajitahidi Ila hajamfikia kirangaAhahahah sema hata Mshana naye yuko vizuri yule