Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Watu tuliokulia vijijini hatupati tabu kuelewa lugha.
Labda wataniteta kwenye matusi na maneno mengine mengine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wengine lugha za watu tulianza kujua salamu na matusi kabla ya maneno mengine mfano kihaya nilianza kujua salamu nikafuata kujua matusi ila siyo kosa langu ni kosa la waliokuwa wananifundisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
Hatari Sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo unafwata nyayo zake!??
Ntaanzia wapi.

Yule P. O. Lumumba anavyoongea hata akina David cameron au Donald Trump hawaongeagi vile na ndio wenye lugha hii, P. O. Lumumba anaongea zile zinaitwa "victorian words" ambayo asilimia kubwa hayatumiki siku hizi.
 
Sasa hizi sifa zimezidi za wahaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1373][emoji1373]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]looh
 
Ndiyo hivyo, mimi nilikuwaga naona tweets zake tu nikawa nachoka naona anafuata nyayo za William Shakespeare the father of English.
 
Watu wanataka tuishi kwa kukariri.

Yani mtu kashakariri kila single mom ni matokeo ya uasherati.

Wakati kuna wengine wajane wamefiwa na waume zao.
Kama utakua umesoma vizuri mpaka mwisho mwadishi wa huu uzi ametoa condition ya kundi ambalo halipaswi kuwepo kwenye hii mada nalo ni hili la hao waliofiwa na waume zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…