Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Watu tuliokulia vijijini hatupati tabu kuelewa lugha.
Labda wataniteta kwenye matusi na maneno mengine mengine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wengine lugha za watu tulianza kujua salamu na matusi kabla ya maneno mengine mfano kihaya nilianza kujua salamu nikafuata kujua matusi ila siyo kosa langu ni kosa la waliokuwa wananifundisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
Hatari Sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo unafwata nyayo zake!??
Ntaanzia wapi.

Yule P. O. Lumumba anavyoongea hata akina David cameron au Donald Trump hawaongeagi vile na ndio wenye lugha hii, P. O. Lumumba anaongea zile zinaitwa "victorian words" ambayo asilimia kubwa hayatumiki siku hizi.
 
Sasa hizi sifa zimezidi za wahaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1373][emoji1373]
 
Mbona juzi tu amepost Uzi...akawa anawaponda wale waliotapeliana hela za memory [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti laki 2 tu ndio inawafanya wanaume wapigizane kelele,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]looh
 
Ndiyo hivyo, mimi nilikuwaga naona tweets zake tu nikawa nachoka naona anafuata nyayo za William Shakespeare the father of English.
Aisee huyo Prof P. O. Lumumba anapenda sifa ni balaha.

Aliwahi kuwa muadhiri na mkuu wa idara ya sheria chuo kikuu cha Nairobi, wanafunzi wake wanakwambia anavyoongeaga kwenye conferences mbali mbali ndio hivyo hivyo hata akiwa ana fundisha.

Yaani hili uweze kwenda nae sawa yapaswa ukae kamusi karibu.. Nilichoka nilivyoskia hayo.
 
Watu wanataka tuishi kwa kukariri.

Yani mtu kashakariri kila single mom ni matokeo ya uasherati.

Wakati kuna wengine wajane wamefiwa na waume zao.
Kama utakua umesoma vizuri mpaka mwisho mwadishi wa huu uzi ametoa condition ya kundi ambalo halipaswi kuwepo kwenye hii mada nalo ni hili la hao waliofiwa na waume zao
 
Back
Top Bottom