...Kama uko makini kwenye kutafuta a life partner (mke) nitachunguza na kubaini kama una mtoto, na eventually nitajua tuu kama huyo mtoto ulimpata kwa ndoa au bila ndoa. It is possible mwanamke husika akajaribu kukuficha, especially kama muoaji ana papara but seriously utajua tuu. Single mothers wa leo ni wale ambao wameamua by choice as their lifestyle.Of course n single mother we umemkuta mtu ana mtt mmoja hujui historia yake analea mwenyewe, what would u call her? Kama sio single mother
M nahisi unaongelea wa mjin may be wasomi, hebu fanya research kidogo vijijin so usigroup wa leo sema baadhi, mana vijijin hili n tatizo pia fatilia if its by choice ndo utoe hoja we unawaongelea single mother wa Dar na mijin tena waliosoma...Kama uko makini kwenye kutafuta a life partner (mke) nitachunguza na kubaini kama una mtoto, na eventually nitajua tuu kama huyo mtoto ulimpata kwa ndoa au bila ndoa. It is possible mwanamke husika akajaribu kukuficha, especially kama muoaji ana papara but seriously utajua tuu. Single mothers wa leo ni wale ambao wameamua by choice as their lifestyle.
Hii ni kweli asee Bora nikose ndoa kuliko kukosa mtoto stress zake sio za nchi hiiBala shaka ndio ukweli kiupande mwingine...
Maana ! Hata ndio isipopatikana sawa....lakni kukosa mtoto na umri unaenda si mchezo kwa sisi wanawake unaweza kuzaa na mtu hujategemea ili mradi upate mtoto tu.
...This is partly true kama muoaji ana haraka au mchumba anampeleka mbio mbio. But kama uko very serious na ukaweka networks ya kutosha from friends and relatives utamjua mtu mchumba wako kama aliwahi kuolewa au kuwa na mtoto as haya siyo mambo yanayofichika. Again back to the topic single mothers tunaozungumzia kwa sasa in reality is by choice, yaani utasikia wanakuambia aah mi mambo ya stress sitaki au mimi natafuta wa kuzaa naye mtoto nalea mwenyewe.Weng wao ila sio wepes kusema ukweli na marafiki waliopitia hili pia majiran, ndugu ,aseme ukweli na n tayar mke wa mtu hathubutu NB, muamini mwanamke uliemkuta na bikra original
Bila kuathiri mada yako..single mother ni yule aliyezaa nje ya ndoa kwa definition inayotambuliwa na jamii.Single mother is also not by choice in most cases, especially mkoa niliopo ndoa zinafungwa sana but watu wakishazaa mtt mmoja au wawil zinavunjika karibu asilimia 80 ya ndoa hz, another case n kwamba mtu kafiwa na mumewe hakuchagua hilo, so sidhan n choice coz single maza weng n matokeo ya mifarakano
Ni single mothers.. ila ktk our context tubaki na ambao hawajawahi kuingia ktk ndoa....Sasa we need to define single mothers, hivi divorced na wajane ni single mothers?
Bila kuathiri mada yako..single mother ni yule aliyezaa nje ya ndoa kwa definition inayotambuliwa na jamii.
Hao wengine wana majina yao; mjane, mtalaka.
Ila popote unapokuta watu wanaongelea single mother hayo makundi mawili usiyaingize hapo.
Baada ya kusema hayo, sasa endelea na mjadala wako.
Kuchelewa kuzaa ni tofauti na ugumba. Kutokana na lifestyle za mjini sasa hivi hili limekuwa tatizo kubwa ktk ndoa nowadays.faraja au sio faraja inategemea na muhusika na Jinsi Suala zima lilivyopokelewa na muhusika/wahusika.faraja huwezi kuiona ktk sura ya mtu au kutokana na maneno yake.Bora stress za kuitwa single mother kuliko mgumba
Ni kweli mkuu na hii ni kila mtu na kiwango chake cha uvumilivuKuchelewa kuzaa ni tofauti na ugumba. Kutokana na lifestyle za mjini sasa hivi hili limekuwa tatizo kubwa ktk ndoa nowadays.faraja au sio faraja inategemea na muhusika na Jinsi Suala zima lilivyopokelewa na muhusika/wahusika.faraja huwezi kuiona ktk sura ya mtu au kutokana na maneno yake. Kuwa single mother ukiwa unahitaji mwenza na humpati au kuchelewa kupata mtoto,zote ni changamoto zinazohitaji uvumilivu na utulivu WA Hali ya juu. faraja utaipata utakapomwachia mungu akuonyeshe njia mwenyewe, kurelax na kutokukata tamaa.trust me. Nimekuwa na watu wenye situation hizo mbili Kwa ukaribu for more than five years. I know the drill.
Mkuu kwani kunakuwaga na double mother au unamaanisha single parentsAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
dunia imeelemewa na wingi wa singo maza
Inasemekana palipo binadamu 10 kuna singo maza 7
Hata jamii forum kati ya wanawake 10 bas 9 ni singo maza
London kwa sasa iko mbion kuja na tiba mbadala ya kupunguza tatizo hili sugu ambalo kwa sasa limekuwa kubwa sana ulaya, america na afica hasa kwa kenya na tanzania
Wasomi kutoka chuo kikuu cha rumis huko america ya kusin wamesain waraka wa kumaliza tatizo hili
Msomi john cater amesema wako mwisho mwishon kuja na suluhisho la kudumu
LONDON BABY
Kwahiyo mkuu singo maza huwajuiMkuu kwani kunakuwaga na double mother au unamaanisha single parents