Aaah wee mkuu hujavaa viatu nivaavyo ndio maana waongea hiyo kauli.Umeongea kwa uchungu sana na masikitiko mkuu,lakini wengine tumezoea kash kash,vurugu kwenye maiaha kwaiyo sioni hatari kwa hili wazo langu..
Swala la kuadhibu mtoto kwa kipigo sio jema.
Baba wa mtoto hana time na mtoto na mtoto hamjui baba yake,japo najua itafika kipindi itakua ni muhimu mtoto kumtambua baba yake wa kibiolojia.
Pole sana ndugu yangu na hizi ndio changamoto za maisha upende boga na ua lake.
Kama hapashi kipolo usimuache huyo single mama nakusihi sana mkuu
Hadi kumtunuku papuchi nao pia ni uaminifu?MpumbavuuuShida nini?
Amekuibia wewe?
Halafu unauliza singo maza mnakwama wapi,umejumlisha dingo maza wangapi kwa hiyo tabia ya hiyo mmoja?
Pia ni vema ungemuuliza anakwama wapi kama angekua kazubaa,hawazi future yake na mwanae,kesho anaweza achika hapo na mtoto hana shule hana pa kwenda.sasa ye kajiongeza we unaponda unatakaje?
Mwanamke ana akili kaona fursa,badala ya kuipiga teke naona awekeze kwa future ya mwanae.ana uhakika hata ndoa ikivunjika ana pa kulaza kichwa ye na mwanae,ana uhakika account itampeleka mtoto shule...halafu anakuamini kama baba wa mtoto anakushirikisha unajibaraguza unatakaje?
Si bure kama baba wa mtoto hapo ulipo hujui hata lini utamjengea urithi huyo mtoto,
Ovyo kabisa!
Inatufundisha tusioe single mothers. Inawafundisha wanaojifanya mabaharia kuoa single mothers wanashare penzi na vidume waliozalisha. Inafundisha pia wadada zetu kua makini na wanaume kama ukiona hakuna future plans jihadhari na mwanaume huyo usije zaa nae akaingia mitini na kukuacha single mother.
Ila kikubwa zaidi nimejifunza uungwana wa jamaa kukwepa kula embe la watu daaah jamaa kani inspire wanaume wengine tuige mfano huo hata kama tumezaa na wanawake tusiendeleze penzi tunawadhulumu wanaume waliowaoa.
Aaah wee mkuu hujavaa viatu nivaavyo ndio maana waongea hiyo kauli.
Ila nikwambie kitu kaka?
Binadamu hatuko sawa.
Na hakuna kitu kitokeacho asilimia mia moja zote.
Bimaana hata waarabu sio wote weupe.
Bimaana hakuna waovu wote na hakuna wema wote ndio maana kuna wema na uovu.
Huwenda huyo mwanamke akawa ni bora.
Angalia nafsi yako nini inataka.
Huwenda akawa mwema kwako na kukupa stahiki zako zote.
Oa mkuu.
Jiridhishe mwenyewe kwa kuzingatia vigezo na masharti ndugu yangu.
Hicho ni kiwanja chenye migogoro ni ngumu sana kukijenga. Hata ukifika kwenye renta mgogoro hujui unapotokea.
Lasivyo utakuja kujuta mbeleni hasa utakapompenda zaidi alafu mgogoro ukaingia.
Muombe sana Mungu ili asibadilike mkaanza kuchomamana visu na magunia mawili ya mkaa au visu.
Hapo ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara, hata wasipovunja ila wasiwasi kibao
Kuiba pesa = Kujiongeza, daaah...Mungu msaidie Mtoto wangu wa kiume asijeingia cha kike kuoa single mother...[emoji24]Shida nini?
Amekuibia wewe?
Halafu unauliza singo maza mnakwama wapi,umejumlisha dingo maza wangapi kwa hiyo tabia ya hiyo mmoja?
Pia ni vema ungemuuliza anakwama wapi kama angekua kazubaa,hawazi future yake na mwanae,kesho anaweza achika hapo na mtoto hana shule hana pa kwenda.sasa ye kajiongeza we unaponda unatakaje?
Mwanamke ana akili kaona fursa,badala ya kuipiga teke naona awekeze kwa future ya mwanae.ana uhakika hata ndoa ikivunjika ana pa kulaza kichwa ye na mwanae,ana uhakika account itampeleka mtoto shule...halafu anakuamini kama baba wa mtoto anakushirikisha unajibaraguza unatakaje?
Si bure kama baba wa mtoto hapo ulipo hujui hata lini utamjengea urithi huyo mtoto,
Ovyo kabisa!
Unaweza usimle ila unajua kwamba ni "press any key to continue"So mnajilia tu wake za watu kwa sababu mlizaa nao before ?
Raisi sanaaa. Na wala sio hata siri iko wazi sema wanawake hua mnajitoa akili, ok nitakumbushia.
1. Mwanaume anaewasiliana na wewe akiwa na nyege tu definetelly hana plan na wewe. Tafuta mwingine mapemaaaa.
2. Mwanaume asiekukanya kwa tabia mbaya kama kuvaa ovyo ovyo, kulewa, kutojali dini, kua na lugha chafu definetelly sio muoaji.
3. Mwanaume asiyependa umjue kiundani, nyumbani kwao, marafiki zake anakuficha definetelly sio muoaji.(japo wengine atakutambulisha kwa marafiki zake waovu wenzake, kua makini hapa)
4. Mwanaume asiekushauri kuhusu maisha ya badae, yeye ni mazungumzo ya ngono tu hakuna shaka sio muoaji.
5. Mwanaume muongo muongo kwa mambo madogo madogo tu huyu ni muongo kwa jambo hilo la ndoa pia. Biblia inasema alie mwaminifu kwa vidogo atakua mwaminifu kwa vikubwa, na alie dhalimu kwa vidogo atakua dhalimu kwa vikubwa.
6. Mwanaume anaekusifia kupita kiasi aise huyo sio muoaji. Kuna kusifia kwa kawaida na ni jambo zuri ila wanaume tumegundua wanawake wanapenda kusifiwa na sisi tunatumia hicho kichaka. Jiadhari wanaume are very smart tunasoma nyakati afu tunakuletea unachojiaminisha ndicho.
7. Mwanaume anaekupa fedha nyingi bila kusita, huyu sio muoaji. HATA kama mwanaume ana fedha nying kiasi gani kwa mwanamke alie na malengo nae hampi fedha kupita kiasi. Ukiona mwanaume anakupa fedha nyingi kadri utakavyo kua chonjo kuna kitu unakiuza bila kujua. Shida ni kwamba wanawake wa kileo wakiona wanapewa mipesa mingi wanaona hapo ndo penyewe na wanawake wanawaza kua na mwanaume anaewapa mapesa.
8. Mwanaume asie na wivu na wewe, hakuna ndoa hapo. Wanawake wakiona mwanaume hana wivu nao utasikia "mwanaume wangu ni muelewa kweli" acha ujinga hakuna mapenzi ya dhati bila wivu, unaliwa na utachwa solemba.
9. Mwanaume anaependa kukutishia kukuacha, kua makini yamkini hakuna mume hapo. Sisi wanaume hatuna hulka ya kukata tamaa hasa kwa mwanamke tunaempenda kwa dhati.
10. Mwanaume anaekusikiliza na kukutekelezea KILA JAMBO UNALOHITAJI. Uwe makini hapa kuna anaetekeleza kwa upendo ila huyu hua sio kila jambo. MWAnaume anaekutendea wema kupitiliza kua chonjo anakuelekezea kibla akishakusokomezea akaridhika atakusepa. Tatizo wanawake wanapenda dezo na wanaume are very smart tunacheza na matakwa yenu.
11. Uaminifu kwa mwanaume sio tabia ni uamuzi. Hua napitia post za wadada love connect utasikia "nataka mwanaume mwaminifu" hua nacheka sana kila mwanaume ni mwaminifu inategemea yuko na nani, mwanaume aliekudanganya wewe na kukuacha kuna mahali anapenda kweli na mpaka ataoa. Badilisheni mtazamo wakinadada wanaume wote ni waongo wakiwa na demu flani lakini waaminifu wakiwa na mpenzi wao wa dhati. Uaminifu sio tabia ni uamuzi tu mlifahamu hilo.
12. Mwanaume mwenye hasira kupita kiasi kua nae makini. Ni sawa kua na hasira na hasira hutusaidia kutenga mabaya ya watu ila mwanaume mwenye mihasira pipa zima jihadhari nae kweli anaweza akawa muoaji ila akakuoa na kukuacha. (Ikumbukwe hii haijumuish kosa la mwanamke kuchepuka, binafsi makosa yote ya mwanamke nitasamehe ila akichepuka ndo game over)
Ndio soma tena kuna nyongeza 3 nimeupdate kwenye post hyo, na ni muhimu sana pia nilikua nimesahau.
🤣🤣🤣 ishu ni kwamba mwanamke anazaa na mwanaume aliyempenda haswaa. Ni ngumu sana kuachana na mwanaume huyo ikiwa chanzo cha ugomvi hakikuhusisha mapenzi moja kwa moja.single mother watatu walishanithibitishia kwa vinywa vyao wenyewe, kwamba hakuna mwanaume ambaye atampenda zaid ya mzazi mwenzie... ukiulza kwann..!? anakuambia haelewi bali ipo hivyo tu... mwengine anakuambia siwezi kamwe kumuacha baba fulani... hao wamegombana wakaachana, wakapatana wakagombana, wakaachana, wakapatana... yaani hawa viwanja vya mgogoro 100% kabisa...
Pack at ur own risk hii ndo maana ya hii story