DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Point ku support wizi ?Ngoja wanaume wakupige mawe hapa dada japo umeongea point.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point ku support wizi ?Ngoja wanaume wakupige mawe hapa dada japo umeongea point.
So mnajilia tu wake za watu kwa sababu mlizaa nao before ?Asimilia 70 hivi yupo sahihi,tuulize ambao tuna watoto wa ujanani na sasa tumeoa wanawake wengine
Anayesema amejiongeza unaweza kukuta nae ana akili mbovu kama za huyo binti mjinga.Unaposema kama angekuwa kazubaa, kazubaa katika lipi mkuu? Huyo mdada keshafunga ndoa hakupaswa kumuibia mumewe ili kuwekeza kwa mwanae maana kaolewa na aliyemuoa alikuwa anajua kuwa ana mtoto, sasa je siku mumewe akigundua kuwa amemuibia ili kuwekeza kwa mwanae huyo kitakachofata ni nini? Acheni kusifia ujanja wa kijinga hakupaswa kumuibia, awekeze kwa mwanae kwa kumshirikisha mumewe, kwani angemwambia mumewe kuwa anataka afungue account awekeze kwa huyo mtoto huyo mumewe angekataa jambo dogo kama hilo wakati amemuamini katika jambo kubwa la ndoa....amekosea amekosea sana anatafuta matatizo, akili gani ya kujiongeza katika ujinga huo
Zimejaa tele humu soma post za wenzio
Hawa iwe miaka 20 wakija onana lazma aliwe, afu mtoto huyo jamaa haudumii??
Na Ataendelea kujileta ivyo ivyo ..lbd adi utakapo jigeuza watu wasio julikana ili wamuokote beach kwenye mfuko wa Rambo
tuanzie hapa,Siwezi kufanya hivyo mkuu jamaa ana familia,watoto wake wataishije ?