Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

mi nashauri oa, mwenyewe niko njiani kufanya hivyo hivi karibuni na nilishaleta thread humu ya kuzungumzia hilo (zaidi ilizungumzia kiwango cha mahali). wewe una wasiwasi na mama mwenye mtoto mmoja ambaye baba kakimbia, kuna jamaa yangu flani ye ameoa mwenye watoto wawili tayari tena wa baba tofauti na kila baba anahudumia mtoto wake na ndoa yao ina amani na furaha kama nini.....wana mtoto mmoja sasa!!
 
Hili la kupasha kipolo siyo tatizo sana maana liko chini ya asilimia 98. Sasa kuna hili la kukuibia pesa ili awekeze badae ya mwanae hili liko zaidi ya 99℅. Ila nalo siyo noma sana. Sasa kuna hili ambalo hata mimi sitaki kulisema maana hili ni tatizo asilimia 100. Hili ndugu hata mimi sitaki kulisema
Mkuu Igombe kwema? Msalimie Mashamba, Kaswamila, na wengineo! Mawazo yangu yananiambia wewe ni "Tolu" samahani lakini, maana njiuliza kwa ninavyoijua Igombe hakuna mvuvi wala chinga mwenye uwezo wa kushuka commenti yenye akili kama hii!
 
MTU kama wewe ukifuatiliwa kwa karibu utakuta uliwajaza Mimba mabinti mpaka kufika 50 ukawakimbia
Leo Hi kati ya hao mabinti amekutana na mkaka mstaarabu amuoe unaharibu tena..
....... Kama sio uchawi huu basi wewe ni Mwanga .
Huna haya wala Soni mdada wa watu kutaka kuolewa?
Kwa jina La Yesu ataolewa tu.
Inamaana wanawake wameisha au? Mbona unatia aibu kijana. Au domo zege umeona ni rahisi kuwapata

Mechi inaanza 0-0 we uliona wapi mechi inaanza 1-0 raha ya mke kuoa mpate wote mtoto wa Kwanzaa wakwenu

Hata wazazi wako watakuwa wanakuskitikia tu wamekubali tu kwa vile maamuzi ni yako
 
Kwanza kisaikolojia tu ukimtangazia ndoa single mother tena kama bado wewe ni kijana na hauna mtoto, atakuona wewe ni mtu mwenye kasoro/dhaifu fulani.

Single mothers wao wenyewe tu huwa wanajishtukia shtukia, wanajiona ni watu walioshuka uthamani flani hivi wa mwanamke, wanajionaga ni wanawake ambao soko lao la kuolewa limeshuka. Na hii yote ni kutokana na stigmatization mbovu iliyopo kwenye jamii yetu kuhusiana na mwanamke anayezalia nyumbani kabla ya ndoa.

Hivyo basi pale wewe mwanaume utakapoenda kumtongoza na hata kutaka kumuoa ingali bado wewe ni kijana mbichi utampa maswali mengi sana, atajiuliza maswali kama "ina maana wewe umekosa kabisa binti mbichi, mpaka umeamua kumfuata yeye ambaye tayari ameshazaa"?.... "yaani pamoja na kunyooshewa mikono kote huko kwa wanawake wa aina yake, ila wewe bado unataka umuoe"?.. "ni kwamba wewe umekataliwa koote huko na wanawake wengine ambao ndio wana soko la kuolewa ukaona uje kwa single mother?".... "na kwanini ukataliwe au haujui kutongoza na hauna ushawishi wowote kwa mwanamke?"... "au kuna uwezekano mkubwa wewe ni mgeni wa wanawake na haujui vingi kuhusu wanawake?"..

Atajiuliza maswali mengi sana ambayo mwisho wa siku yatamjengea imani ya kwamba wewe utakuwa na kasoro flani iliyokukosesha wanawake wengine kabla haujaja kwake, sababu atakuwa haamini kwa 100% kwamba wewe umekuja kwake straight bila kutongoza wanawake wabichi wenye soko ambao bado hawajazaa. Na mwanamke akisha hisi tu wewe una kasoro kukupa heshima yako sahau.

Single mother hawezi kujiuliza mara mbili swali lolote endapo kama atatongozwa/kuombwa ndoa na mtu mzima mwenye watoto kama yeye. Maana ule mfanano tu wa kwamba wote mna watoto tayari unaondoa doubts zote.
 
Naomba nianze kukulaumu wewe kama wewe

1. Huna upendo wa dhati kwa huyo Dada .2.Hujui ulitakalo kwenye maisha yako
3, IPO siku isiyojulikana utakuja fungua uxi wa kuuliza umeoa Sana JF wakupangie ratiba ya Sex
4, .Mpaka unapanga nae mipango mmefika mbali eti unakuja uliza so wengi wakisema usioe utasitisha( katili sana)
5. Bora huyo kazaa waweza kutana na Mama wa marehemu na vizazi hawana au ukabambikwa mimba(ndo adhabu utakayopata ukimwacha)
6. Kama huyo ni single mom basi jua pia kuna single dad sehemu
7.asa kama ni ivyo na ni simple hivyo why waliachana??
JF Men stop this bulsht!!!!!!!!!
Mwisho
Oa hana neno
Thank me later. sheremaya,
 
pokrei,

Kipimo cha upendo wa dhati hakipimwi jivyo mkuuu, linapokuja swala la upendo lazima uambatane na akili zako..kwenye hii mada mimi nimejifunza mambo mengi sana na yatanisidia.
Pia nashukuru kwa kuniunga mkono
Asante
 
MTU kama wewe ukifuatiliwa kwa karibu utakuta uliwajaza Mimba mabinti mpaka kufika 50 ukawakimbia
Leo Hi kati ya hao mabinti amekutana na mkaka mstaarabu amuoe unaharibu tena..
....... Kama sio uchawi huu basi wewe ni Mwanga .
Huna haya wala Soni mdada wa watu kutaka kuolewa?
Kwa jina La Yesu ataolewa tu.
Mimi siko hivyo na hao waliowajaza mimba ndo watawaoa mzigo wao wasitupe sisi wengine

Ukioa single mother umeoa mke wa mwenzako washaur hao waliowajaza hizo mimba wawaoe
 
Mkuu Igombe kwema? Msalimie Mashamba, Kaswamila, na wengineo! Mawazo yangu yananiambia wewe ni "Tolu" samahani lakini, maana njiuliza kwa ninavyoijua Igombe hakuna mvuvi wala chinga mwenye uwezo wa kushuka commenti yenye akili kama hii!
Siko igombe kwa sasa mkuu. Nitawasalimia nikifika huko. Mbona unawajua wavuvi wengi wa igombe vipi nawewe ulishawahi ishi huku
 
Hili la kupasha kipolo siyo tatizo sana maana liko chini ya asilimia 98. Sasa kuna hili la kukuibia pesa ili awekeze badae ya mwanae hili liko zaidi ya 99℅. Ila nalo siyo noma sana. Sasa kuna hili ambalo hata mimi sitaki kulisema maana hili ni tatizo asilimia 100. Hili ndugu hata mimi sitaki kulisema
Hapa umemaliza hasa hilo la 99%
 
Back
Top Bottom