Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Toka umeanza kufanya mapenzi umefanya mara ngapi?

Je , ungekuwa mwanamke ukapata mimba ungeitoa?....

Angalia vigezo vyako kwa unauemuoa haya ya single mama ni mambo madogo kwangu naona.
Hatimaye mrejesho chanya wa kwanza. Hili swala ni gumu sana kila nikitaka kumwambia Singo maza wangu nakuoa nakuta mada mpya humu wakisemwa..... NAO NI WANAWAKE KAMA WANAWAKE WENGINE NA WANASTAHILI UPENDO PIA.
 
Mtaani wanaolewa mkuu.....nadhani hii mentality sio nzuri....

Wanawake wanapata ujauzito kwa namna tofauti tofauti....laiti wanaume nasi tungekuwa tunabeba mimba haya yasingekuwepo.
 
tuanzie hapa,
1. ulijuaje mzazi mwenzake yupo na familia pamoja na watoto..? ni dhahiri kwamba mchumba wako amekuambia kuhusu yeye
2. inakuaje mchumba wako ajue maisha ya mzazi mwenzake na familia yake, wakati walishamalizana hata kunyima mzazi mwenzake kumsogelea mtoto..? ni dhahiri kwamba hajamsahau mzazi mwenzake na bado anafuatilia maisha ya mzazi mwenzake...
3. kwanini aendelee kufuatilia maisha ya mzazi mwenzake na hali ya kuwa hawapo pamoja..? ni dhahiri kwamba anajali maisha ya mzazi mwenzake na ana wivu juu ya maisha ya mzazi mwenzake hasa kuhusu malezi ya watoto wa mzaz mwenzake na malezi ya mtoto wao, yeye na mzaz mwenzake,
hivyo tafakari kabla ya maamuzi muhmu utakayoyafanya... wapo wenye mapenz ya dhati na uhtaji mkubwa wa kupendwa...
mwisho moyo wa mtu ni kichaka...

Mengine ni juhudi zangu mimi mwenyewe katika harakati za kufanya upelelezi
 
Inamaana wanawake wameisha au? Mbona unatia aibu kijana. Au domo zege umeona ni rahisi kuwapata

Mechi inaanza 0-0 we uliona wapi mechi inaanza 1-0 raha ya mke kuoa mpate wote mtoto wa Kwanzaa wakwenu

Hata wazazi wako watakuwa wanakuskitikia tu wamekubali tu kwa vile maamuzi ni yako
 
Oa tu si wenyewe tulioa mabikra kwa sasa wanatutia jamba jamba nidhamu ya mtu kutulia kwenye ndoa ni matokeo ya halmashauri ya kichwa chake akiamua kuwa kivuruge anakuwa kivuruge tu hata kama ulimpendea kunena kwa lugha akiwa kanisani kwa Mwamposa.
 
Kwema jamani
Moyo wangu umeanguka kwa mwanamke ambaye kazalishwa,na mzazi mwenzake alishaoa mwanamke mwingine pia ana familia yake..
Hawajawai kuishi wote na hawana mawasiliano miaka 5 sasa.
Naombeni kujua changamoto za hawa wanawake nisije badae kuja kuomba ushauri mkasema navyooa mbona sikuomba ushauri

Mtoto analelewa na bibi mzaa mama na majina ya ubini kapewa ya babu mzaa mama.
Unatafuta kufa mapema wewe..
 
Mtaani wanaolewa mkuu.....nadhani hii mentality sio nzuri....

Wanawake wanapata ujauzito kwa namna tofauti tofauti....laiti wanaume nasi tungekuwa tunabeba mimba haya yasingekuwepo.
Na ni waelewa sana, hawana longolongo kabisa. Binafsi nawapenda na kuwaheshimu sana.
 
Oa tu si wenyewe tulioa mabikra kwa sasa wanatutia jamba jamba nidhamu ya mtu kutulia kwenye ndoa ni matokeo ya halmashauri ya kichwa chake akiamua kuwa kivuruge anakuwa kivuruge tu hata kama ulimpendea kunena kwa lugha akiwa kanisani kwa Mwamposa.

Msifanye hivyo jamani,kwaiyo hawa wanawake ni wakuliwa tu papuchi na kuachwa
 
Inamaana wanawake wameisha au? Mbona unatia aibu kijana. Au domo zege umeona ni rahisi kuwapata
Mechi inaanza 0-0 we uliona wapi mechi inaanza 1-0 raha ya mke kuoa mpate wote mtoto wa Kwanzaa wakwenu
Hata wazazi wako watakuwa wanakuskitikia tu wamekubali tu kwa vile maamuzi ni yako

Asante kwa ushauri mkuu,ni moyo tu umedondokea huko
 
Back
Top Bottom