King Mbappe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 1,195
- 2,053
anafanya kazi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anafanya kazi gani?
nimeuliza kwa sababu wengi wao ambao hawana kazi wanachukulia ndoa kama fursa ya kumtaftia mtoto wao maisha bora. mchunguze vizuri.Mwalimu
Mkuu Igombe kwema? Msalimie Mashamba, Kaswamila, na wengineo! Mawazo yangu yananiambia wewe ni "Tolu" samahani lakini, maana njiuliza kwa ninavyoijua Igombe hakuna mvuvi wala chinga mwenye uwezo wa kushuka commenti yenye akili kama hii!Hili la kupasha kipolo siyo tatizo sana maana liko chini ya asilimia 98. Sasa kuna hili la kukuibia pesa ili awekeze badae ya mwanae hili liko zaidi ya 99℅. Ila nalo siyo noma sana. Sasa kuna hili ambalo hata mimi sitaki kulisema maana hili ni tatizo asilimia 100. Hili ndugu hata mimi sitaki kulisema
Msifanye hivyo jamani,kwaiyo hawa wanawake ni wakuliwa tu papuchi na kuachwa
Inamaana wanawake wameisha au? Mbona unatia aibu kijana. Au domo zege umeona ni rahisi kuwapata
Mechi inaanza 0-0 we uliona wapi mechi inaanza 1-0 raha ya mke kuoa mpate wote mtoto wa Kwanzaa wakwenu
Hata wazazi wako watakuwa wanakuskitikia tu wamekubali tu kwa vile maamuzi ni yako
Kwanza kisaikolojia tu ukimtangazia ndoa single mother tena kama bado wewe ni kijana na hauna mtoto, atakuona wewe ni mtu mwenye kasoro/dhaifu fulani.Inamaana wanawake wameisha au? Mbona unatia aibu kijana. Au domo zege umeona ni rahisi kuwapata
Mechi inaanza 0-0 we uliona wapi mechi inaanza 1-0 raha ya mke kuoa mpate wote mtoto wa Kwanzaa wakwenu
Hata wazazi wako watakuwa wanakuskitikia tu wamekubali tu kwa vile maamuzi ni yako
Mimi siko hivyo na hao waliowajaza mimba ndo watawaoa mzigo wao wasitupe sisi wengineMTU kama wewe ukifuatiliwa kwa karibu utakuta uliwajaza Mimba mabinti mpaka kufika 50 ukawakimbia
Leo Hi kati ya hao mabinti amekutana na mkaka mstaarabu amuoe unaharibu tena..
....... Kama sio uchawi huu basi wewe ni Mwanga .
Huna haya wala Soni mdada wa watu kutaka kuolewa?
Kwa jina La Yesu ataolewa tu.
Asante kwa ushauri mkuu,ni moyo tu umedondokea huko
Siko igombe kwa sasa mkuu. Nitawasalimia nikifika huko. Mbona unawajua wavuvi wengi wa igombe vipi nawewe ulishawahi ishi hukuMkuu Igombe kwema? Msalimie Mashamba, Kaswamila, na wengineo! Mawazo yangu yananiambia wewe ni "Tolu" samahani lakini, maana njiuliza kwa ninavyoijua Igombe hakuna mvuvi wala chinga mwenye uwezo wa kushuka commenti yenye akili kama hii!
Hapa umemaliza hasa hilo la 99%Hili la kupasha kipolo siyo tatizo sana maana liko chini ya asilimia 98. Sasa kuna hili la kukuibia pesa ili awekeze badae ya mwanae hili liko zaidi ya 99℅. Ila nalo siyo noma sana. Sasa kuna hili ambalo hata mimi sitaki kulisema maana hili ni tatizo asilimia 100. Hili ndugu hata mimi sitaki kulisema