Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ninaomba utaje umri wako kwanza pa1 na historia fupi ya maisha yako, kama huko nyuma ulishawahi kuoa na kutaliki ama lah, kabla sijashusha nondo nzito juu ya aina hiyo ya ndoa unayotamani kuiingia.
Umri wangu ni miaka 30 mkuu,historia ni ndefu sana haiwezi tosha kuelezea hapa..kimsingi nimepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha ya umri wangu huu..kiufupi nimewai kuishi na wanawake watatu..
Wa kwanza wakati nipo chuo
Wa pili na watatu nilipomaliza chuo hawa niliishi nao sio kama nilikua nawapenda nilikua nataka nipate experience ya kuishi na mwanamke ndani..
Wa pili hapo alipata ujauzito ukaharibika,nikamuhudumia kwa kika kitu,wa tatu hapo kuna kasheshe mkuu mpaka nacheka mwenyewe mana siwezi hata kukasirika.hao niliowai kuishi nao pika nipakue.bado ile mipango ya kando
Karibu mkuu,karibu sana
 
Hatimaye mrejesho chanya wa kwanza. Hili swala ni gumu sana kila nikitaka kumwambia Singo maza wangu nakuoa nakuta mada mpya humu wakisemwa..... NAO NI WANAWAKE KAMA WANAWAKE WENGINE NA WANASTAHILI UPENDO PIA.

Ni wrong info tu walizonazo wanaume!! Wasio na akili timamu.

Wapo waliolewa mabikra lkn wanatoka nje ya ndoa. Wapo waliolewa bila watoto lkn ndoa zimevunjika with no time. Wapo walioa sinhi mother ndoa zao ni bora.
 
Bhasi pole sana maana unanunua matatizo...!! Labda kama Jamaa ake alifariki na kaburi umeliona... kila siku watu wanasema hapa kuhusu single mother unahisi wanawasingizia haya Oa uonee..Kazi ni kwako
Asante sana na ni kweli unachokisema lakini nililileta hapa ili niongeze maarifa ya kuishi na bibie huyu..
Bado naendelea kupata idea impya na hata nikimuoa ntaendelea kuzipata pia...kimsingi huyu bibir hajawai kuishi na mwanaume zaidi ya kuzaa akiwa na akili za kitoto
Asante
 
Ni wrong info tu walizonazo wanaume!! Wasio na akili timamu.

Wapo waliolewa mabikra lkn wanatoka nje ya ndoa. Wapo waliolewa bila watoto lkn ndoa zimevunjika with no time. Wapo walioa sinhi mother ndoa zao ni bora.
Kumbuka kuna majority and minority.
Majority ya single mimmamaz ni shiddatun shiddade.
Ila minority ya bikra ndio wana matatizo.
Asa tizama wapi pana unafuu?
 
Asante sana na ni kweli unachokisema lakini nililileta hapa ili niongeze maarifa ya kuishi na bibie huyu..
Bado naendelea kupata idea impya na hata nikimuoa ntaendelea kuzipata pia...kimsingi huyu bibir hajawai kuishi na mwanaume zaidi ya kuzaa akiwa na akili za kitoto
Asante
Alizaa nae akiwa na akili za kitoto ila atakuwa anamlaa akiwa na akili za kikubwaa...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe ushadata usitupotezee muda kujidai unaomba ushauri akati ushaamua mwenyewe kichwani mwako tayari
 
Licha ya historia mkuu lakini ushauri ni muhimu sana...huoni mkuu anavyochange gear angani
 
Kumbuka kuna majority and minority.
Majority ya single mimmamaz ni shiddatun shiddade.
Ila minority ya bikra ndio wana matatizo.
Asa tizama wapi pana unafuu?

Umefanya utafiti wapi?? Ukaona majority kuwa Wana shida??

Ni ukosefu wa akili tu.

Na hao wasio na watoto hawacheat na ex zao?
Nini kina wafanya waliowazalisha wapashe viporo?
 
Umefanya utafiti wapi?? Ukaona majority kuwa Wana shida??

Ni ukosefu wa akili tu.

Na hao wasio na watoto hawacheat na ex zao?
Nini kina wafanya waliowazalisha wapashe viporo?
Ndio maana nikakwambia majority ya single mamaz shida na minority ya wasio single mamas ndio wenye shida.
Jamaa nimemfafanulia kule juu km unajua ufaham(kusoma na kuelewa ) majibu yapo kule juu.
 
Ndio maana nikakwambia majority ya single mamaz shida na minority ya wasio single mamas ndio wenye shida.
Jamaa nimemfafanulia kule juu km unajua ufaham(kusoma na kuelewa ) majibu yapo kule juu.
H ha ha ha

Utafiti umefanya wapi?

Toa data kamili bana....!!
 
Hapa nilipo nina single mother wa kishirazi.
Ukiachana na yangu.
Kuna babu yangu alioa single mother.
Tabu ya kwanza alopata ni ile ya huyo single mother (bibi yangu) alikua bado ana mapenzi na aloachana naye japokua walikorofishana.
Kwahyo ikawa km kakurupuka kuolewa na babu yangu ilhali bado anampenda aloachana naye.
Bado yule jamaa akawa anakula mzigo alooa babu yangu.
Na mpk sms kubambwa.
Licha ya yote.
Watoto wa kambo aliowalea babu yangu walipokua wakamgeuka kuwa hawana uhusiano naye wa dam asiwasumbue.Na ukitizama ali invest kwa hao watoto massively ila walichokuja mlipa Yesu Nazhareth hapendi.
Yangu mm siri ya ndan wacha nitulie.
H ha ha ha

Utafiti umefanya wapi?

Toa data kamili bana....!!
 
Ndugu andika maumivu, tuulize sisi tuliokubali kuolewa na wanaume waliozaa ujanani kwao ni kichomi. Hao watu wanakitu kimewaunganisha tn kizito sana asikuambie sijui hawana mawasiliano hayo mawasiliano m'ume akiyataka yatarudi tu. Hao wanawake hawaonagi shida kujiachia kwa baba watoto zao ht kama kaolewa haoni tabu, ila km wew umependa na umefanya uchunguz yakinifu basi Oa
 
Back
Top Bottom