Vyovyote lakini wakifanya uzembe kinachotokea ni mimba na mwanamke anabaki kuhangaika nayo kama single mother. Kwa hiyo ni wajibu wa mwanamke kuwa makini maana ndiye the vulnerable party.
Ukijijua una pumu usilete ujanja wa kusema eti mbona wengine wanavuta sigara, ukivuta sigara utabanwa kifua unaweza hata kufa ukaacha wenzio wakiendelea na starehe hiyohiyo iliyokuua!
Mwanamke ukileta ubishi eti kwa kuwa wanaume wakitongozwa wanakubali, basi na wewe kubali tu wakupelekee mambo upate khabari yako! Walewale unaowakubalia watakuita 'mama huruma', ukizaa ni 'single mother' na mwanao ni 'mwanaharamu', yote kwa kutaka tu mashidano ya kijinga.