DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Mabaharia mna roho ngumu sanaUnaweza usimle ila unajua kwamba ni "press any key to continue"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabaharia mna roho ngumu sanaUnaweza usimle ila unajua kwamba ni "press any key to continue"
Umri wangu ni miaka 30 mkuu,historia ni ndefu sana haiwezi tosha kuelezea hapa..kimsingi nimepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha ya umri wangu huu..kiufupi nimewai kuishi na wanawake watatu..Ninaomba utaje umri wako kwanza pa1 na historia fupi ya maisha yako, kama huko nyuma ulishawahi kuoa na kutaliki ama lah, kabla sijashusha nondo nzito juu ya aina hiyo ya ndoa unayotamani kuiingia.
Oa tu
Sisi kwenye tasnia yetu tunaitaga European handcap
Inatoaga sana.
Hatimaye mrejesho chanya wa kwanza. Hili swala ni gumu sana kila nikitaka kumwambia Singo maza wangu nakuoa nakuta mada mpya humu wakisemwa..... NAO NI WANAWAKE KAMA WANAWAKE WENGINE NA WANASTAHILI UPENDO PIA.
ExactlyNi wrong info tu walizonazo wanaume!! Wasio na akili timamu.
Wapo waliolewa mabikra lkn wanatoka nje ya ndoa. Wapo waliolewa bila watoto lkn ndoa zimevunjika with no time. Wapo walioa sinhi mother ndoa zao ni bora.
Asante sana na ni kweli unachokisema lakini nililileta hapa ili niongeze maarifa ya kuishi na bibie huyu..Bhasi pole sana maana unanunua matatizo...!! Labda kama Jamaa ake alifariki na kaburi umeliona... kila siku watu wanasema hapa kuhusu single mother unahisi wanawasingizia haya Oa uonee..Kazi ni kwako
Kumbuka kuna majority and minority.Ni wrong info tu walizonazo wanaume!! Wasio na akili timamu.
Wapo waliolewa mabikra lkn wanatoka nje ya ndoa. Wapo waliolewa bila watoto lkn ndoa zimevunjika with no time. Wapo walioa sinhi mother ndoa zao ni bora.
Majority ila ndio watamuKumbuka kuna majority and minority.
Majority ya single mimmamaz ni shiddatun shiddade.
Ila minority ya bikra ndio wana matatizo.
Asa tizama wapi pana unafuu?
Alizaa nae akiwa na akili za kitoto ila atakuwa anamlaa akiwa na akili za kikubwaa...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe ushadata usitupotezee muda kujidai unaomba ushauri akati ushaamua mwenyewe kichwani mwako tayariAsante sana na ni kweli unachokisema lakini nililileta hapa ili niongeze maarifa ya kuishi na bibie huyu..
Bado naendelea kupata idea impya na hata nikimuoa ntaendelea kuzipata pia...kimsingi huyu bibir hajawai kuishi na mwanaume zaidi ya kuzaa akiwa na akili za kitoto
Asante
Alizaa nae akiwa na akili za kitoto ila atakuwa anamlaa akiwa na akili za kikubwaa...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe ushadata usitupotezee muda kujidai unaomba ushauri akati ushaamua mwenyewe kichwani mwako tayari
Kumbuka kuna majority and minority.
Majority ya single mimmamaz ni shiddatun shiddade.
Ila minority ya bikra ndio wana matatizo.
Asa tizama wapi pana unafuu?
Ndio maana nikakwambia majority ya single mamaz shida na minority ya wasio single mamas ndio wenye shida.Umefanya utafiti wapi?? Ukaona majority kuwa Wana shida??
Ni ukosefu wa akili tu.
Na hao wasio na watoto hawacheat na ex zao?
Nini kina wafanya waliowazalisha wapashe viporo?
H ha ha haNdio maana nikakwambia majority ya single mamaz shida na minority ya wasio single mamas ndio wenye shida.
Jamaa nimemfafanulia kule juu km unajua ufaham(kusoma na kuelewa ) majibu yapo kule juu.
H ha ha ha
Utafiti umefanya wapi?
Toa data kamili bana....!!