Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mimi nimeolewa juzi tu na mwanume mwenye mtoto, jamani najutaaaaa. Kama isingekuwa ndoa ya kanisani tungeshaachana, japo sijui yakinishinda nasepa tu. Lakini kusema kweli ni mtihani.

Tatizo lipo wapi mama,toa ya moyoni kidogo
 
Uchunguzi wangu ni yakinifu,
Labda apo uliposema baba wa mtoto akianza tena kutaka mawasiliano,
Hicho kitu kinachounganisha mimi nikimzalisha hakiwezi kuunganisha..
 
Refa kabla hazapuliza kipenga mpira uanze team moja tayari ina goal

Angalia fair play[emoji23]
 
Jua sababu kwann hakuolewa na huyo mwanaume.

Mwanaume hawezi kumuacha mwanamke hivi hivi tu. Usije ukaangukia pua bro maana sio kila mwanamke anafaa kuolewa wengine mikosi
 
Tuache kuishi maisha nyuma ya wakati kwa wakati kama huu ni tofauti na zamani kiukweli kujilinda mpaka uwe na miaka 30+ ni ngumu sana so kwa sasa tuishi hivyohivyo tu angalia mazingira na mtu ambaye unawaza kuwa naye kabla hujacheki usingle mama wake otherwise unaweza poteza mke mwema kisa umekuta ni single mum et ni mke wa mtu
 
Sasa kama wanaume hamuwezi kuchomoa mnapotongozwa na wanawake mnadhani ndiyo itakuwa rahisi kwa wanawake kuchomoa wanapotongozwa na wanaume??
 
Umenena vyema sana mkuu
 
Sasa kama wanaume hamuwezi kuchomoa mnapotongozwa na wanawake mnadhani ndiyo itakuwa rahisi kwa wanawake kuchomoa wanapotongozwa na wanaume??
Vyovyote lakini wakifanya uzembe kinachotokea ni mimba na mwanamke anabaki kuhangaika nayo kama single mother. Kwa hiyo ni wajibu wa mwanamke kuwa makini maana ndiye the vulnerable party.
Ukijijua una pumu usilete ujanja wa kusema eti mbona wengine wanavuta sigara, ukivuta sigara utabanwa kifua unaweza hata kufa ukaacha wenzio wakiendelea na starehe hiyohiyo iliyokuua!

Mwanamke ukileta ubishi eti kwa kuwa wanaume wakitongozwa wanakubali, basi na wewe kubali tu wakupelekee mambo upate khabari yako! Walewale unaowakubalia watakuita 'mama huruma', ukizaa ni 'single mother' na mwanao ni 'mwanaharamu', yote kwa kutaka tu mashidano ya kijinga.
 
Hata ukimzalisha lkn usisahau alishazaa na mtu mwingine kbla yako, hvyo mtoto wako si sabbu. Ila bado uamuz wako wew ndio sahihi
Uchunguzi wangu ni yakinifu,
Labda apo uliposema baba wa mtoto akianza tena kutaka mawasiliano,
Hicho kitu kinachounganisha mimi nikimzalisha hakiwezi kuunganisha..
 
Siyo mashindano ila hii tabia ya wanaume kujiona hawana makosa eti kwa sababu wao hawapati madhara ndiyo inachangia kuharibu jamii hakuna jinsia iliyoruhusiwa kutenda dhambi wala maovu

Haya ya kusema kwamba mwanamke ndiye anaathirika zaidi ni mitazamo ya jamii na siyo kila mtu anafuata mitazamo ya jamii sisi wengine huwa tunafuata maandiko ambayo yanasema wote wanaume na wanawake waache uzinzi na uasherati

Sasa ninyi mnaoshikilia bango jinsia moja eti kwa sababu tu jinsi nyingine haipati madhara (wakati nayo inahusika) ndiyo mnakuwa wanafiki ifike pahala tuache unafiki tuseme ukweli kama tumeamua kuyakemea maovu tuyakemee kwa jinsia zote na kama tumeamua kuyakalia kimya tufanye hivyo kwa jinsia zote

Kumbuka hata kuvuta sigara eti kwa sababu tu hauna pumu hakubadilishi ukweli kwamba kuvuta sigara ni kubaya kwa kifupi tu ni kwamba wanaume waache kutongoza bila kuwa na nia ya dhati na wanawake waache kukubali bila kuwa na nia ya dhati tofauti na hapo mtakuwa mnapiga kelele tu na mnapoteza muda kila kitu kudhani tunataka usawa wakati tunaongea ukweli
 
Mtoa mada huna akili ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu, acha kuokota mada na kucopicate hapa....

[emoji34][emoji34][emoji34]
 
That is why they call you Boss!
Huyu mwandishi ni mshamba wa kiwango cha lami
Anatafuta pa kufia
Kuna single moms wengi tu wameolewa na kutulia kuliko wadada waliolewa wakiwa
hawana watoto

Acheni hizi stereo types za kishamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…