Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

nimegundua umebadilisha jina, hujafungua ID mpya, umefanyajefanyaje? mimi sioni sehemu ya kubadilisha
Hahahaha JF hakuna sehemu ya kubadilishia username unamtafuta moderator yoyote unayeona yuko active unamwambia akubadilishie unamtajia na username unayotaka kuitumia anakubadilishia mfano mimi huwa namtafuta Maxence Melo usernames zangu zote kanibadilishia yeye na ndiye ambaye yuko active karibu muda wote wengine naona huwa wanachelewa
 
sawasawa
 
Una lugha ya ukakasi, utagombana na wanaJF wangapi?
Lugha ya ukakasi ndio ikoje?
Nina ugomvi kuanzia na boss wenu Max hadi mfanyakazi wake wa mwisho sembuse nyie member tu
.
Huu ugomvi wa keyboard nao ni ugomvi 😝😝😝
 
Lugha ya ukakasi ndio ikoje?
Nina ugomvi kuanzia na boss wenu Max hadi mfanyakazi wake wa mwisho sembuse nyie member tu
.
Huu ugomvi wa keyboard nao ni ugomvi 😝😝😝

Wenzio tulianzia huko huko...utabadilika tu trust me,,,, I can’t wait to see you as changed person πŸ˜‚πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜Š
 
Wenzio tulianzia huko huko...utabadilika tu trust me,,,, I can’t wait to see you as changed person πŸ˜‚πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜Š
Hahahaha! Nimo humu toka 2011 ID zangu zingine kama sita hivi ban zake hazijawahi kuisha ndio maana unaona nina ugomvi hadi na Max.
.
Mimi ni yule jana leo na hata kesho usitegemee nikibadilika Rebby
 
Ni baraka sana kuoa single mama..chamsingi tu hakikisha walishaachana kabisa, ikibidi wasiliana na jamaa akuhakikishie.
usimfikirie vibaya lakini pia msisitize akuheshim na awe na mipaka.
Jambo moja LA muhimu unatakiwa au juwa kabisa upo responsible na mtoto wake hapo ndipo baraka zinapoanzia kwa sababu watoto hawa Mara nyingi wanakosa malezi ya baba na kiukweli hawana hatia.
Na huwa wanajiskia amani sana wakielelewe na baba na mama kwa upendo.

Mpaka atakapogundua wewe sio babaake ni badae sana , hivyo utakuwa umemsaidia.

Pia utaheshimika kwa mkeo na ndugu wa mkeo kwa jambo hilo .

Yani ninachotaka kusema ukitaka kuoa single mama jihesabie kabisa Huyo mtoto ni wako na utahusika nae hata kama mama yake atakwambia hutamlea wewe.

Kumbuka mtoto anakuwa na anahitaji mapenzi ya mama yake anaweza akagoma au akatoroka alipo akaja kuishi kwa mama yake, huwezi mfukuza.

Sasa kama hukumpenda utajilazimisha kukaa nae jambo ambalo si zuri.

Otherwise mi naona ni baraka kuoa single mama.,,Mungu atakufikiria kwa sababu hawa watu wanachukuliwa kama walemavu na watoto wao huishia maisha ya kutangatanga kama yatima. .wakat makosa sio yao peke yao.

Nasisitiza tena kama unaoa single maza,, hakikisha unampenda mtoto wake kama wakwako na uwajibike nae.
Kama unaona roho nzito BORA uache kuliko kuja kumtesa kiumbe asie na hatia.
Your browser is not able to display this video.
 
Single mother wote kaksvnsmbwahsg nyie mnatuharibia vijana
 
Naona uzi umeunganishwa ..walau iwe hivyo..
Nadhani hawajielewi hawa wanaolaumu single mothers
Wkt wengi wao wamelelewa na single mothers
Au hawajui vyema maana ya Single mothers kwa kuwa limeandikwa Kimombo.
 
Hata wewe sio rijali. Rijali gani unachamba mange haoni ndani
Haaaa haaaa mtoto sio rizki huyu si umeona hata anavyobwabwaja kwa sauti laini na Tamu.Bado kidogo kuposwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…