Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kweli halafu hawa wavulana ni waoga wa maisha wanachokimbia sio single mother wanakimbia majukumu ni wakina uchebe hawa ila mi naona mwanamke ni mwanamke akikupenda mkapendana weka ndani watoto lea

Sent using tekino
Mwelezeni mwaume mwenzenu punde mtasikia ameanza kubana pua ..na kuvaa kanga naye ahudumiwe.Mjini pagumu.
 
Hahahaha! Nimo humu toka 2011 ID zangu zingine kama sita hivi ban zake hazijawahi kuisha ndio maana unaona nina ugomvi hadi na Max.
.
Mimi ni yule jana leo na hata kesho usitegemee nikibadilika Rebby
Being confrontational is not nice, chunguza why are you angry and bitter then work on it..
 
Hatukatai usingle mother,kwani huwezi kuzuia mwanamke kutiwa mimba na kuachwa,ila concern hapa ni kuwa ukishajijua wewe ni single mother na ukampata mwanaume amekupenda na akaamua kukuoa,tulizana,mheshimu sana,kwani ukumbuke kuanzia wazazi,ndugu na hata marafiki huwa hawafurahishwi na kuona mtu wao wa karibu kaoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto,kwahiyo cha muhimu kwa huyo mwanamke ni kuwa na heshima na kutulizana,sio kesho unaanza kuwatafuta tena waliokuzalisha mnaanza kuweka vilinge mitaani,hiyo haikubaliki...
 
Kwaninj uoe single mother ilihali kuna wanawake wengi tu makanisani, misikitin wakiomba wapate mume ni wabichi kabisa,

Tuachane na single mother, inabd tuhoji uwezo wako wa kiakili, kwel una akili timamu wewe?? Yani bikra ukose hadi kuzaa pia wakutangulie!!!!
Alafu baba yako anajisifu amezaa dume, mkuu unawaaibisha wazazi wako
Ata mama yako ukimuambia naoa mwanamke ambae kashazalishwa hatakua upande wako, japo yeye ni mwanamke au ata kama alikua single mother kipind chake bado hatakubali huo upuuzi wako.
 
Funguka mkuu ni tatizo lipi hilo,ila kiukweli kuna jirani yangu alikuwa anaishi na single mother na kazaa naye,sasa toto la kwanza la huyo single mother lipo chuo ndio linamchukia baba wa kambo na kumshawishi mama yake aachane na huyo jamaa.Matokeo yake mdada kaanza kumsumbua jamaa na kibaya zaidi mtaji wake wa biashara kapewa na jamaa na kusababaisha jamaa afilisi biashara yake na akawa hana kitu.Hapo ndio migogoro ikaanza mwanamke kutwa kumponda mwanaume,migogoro ilipozid wakaachana na jamaa kapata kazi kwenye kampuni ya usafirishaji,sa izi anapiga masafa ya Zambia na Congo...
 
Tayari umeshalisema. Kimjibu wa maisha utaonyesha upendo kwa huyo mtoto ila yeye hato reply huo upendo kwako
 
Sema yote lakini ukweli unabakia kuwa nazi haishindani na jiwe. Hata kama nazi na jiwe wana makosa, wakigongana nazi itapasuka na jiwe litaendelea kupasua nazi nyingine.
 
sheremaya,

Mwenzio keshazalishwa. Nenda kwanza ukazalishe mwanamke mwingine ili muwe sawa. Tofauti na hapo oa huyo single mother wako at your own risk.

Usiseme hukuonywa.
 
Inamaana single mothers hawajitambui namna hii au mnatumia mifano ya wachache kuhukumu wote?
Single mother hafai hata kidogo kwa mwanaume ambaye hajawa baba, period.
Inaswihi mama kuolewa na baba au msichana kuolewa na mvulana, period.
 
Ni uamuzi mgumu lakini bado unafanyika. Inategemeana na msimamo wa huyo unauetarajia kufunga naye ndoa.
Wakati anapata mimba mahusiano yao yalikuwa imara kiasi gani. Kama yalikuwa imara kuna changamoto hapo baadaye lakini kama ni yale ya kulazimishana akishapata sehemu nyingine yenye utulivu hatahangaika na mambo hayo ya zamani japo kuna wakati inaweza kutokea midogo midogo hasa kuhusu mtoto.
Za kuambiwa changanya na zako.
 
Ndoa kuwa na changamoto sio lazima itokane na mzazi moja kuwa na mtoto. Wengine wanaanza fresh na wanashindwana baadaye kwa sababu tofauti kabisa. Hizi fikra za kusema single mothers hawaoleki sio sahihi kabisa.
 
sheremaya,

jiandae kisaikolojia siku ukuambie kwamba baba wa mtoto kanipigia simu kaesma anataka kitu fulani..au wewe mwenyewe ukute wanaasiliana kwa siri...mengine tumuachie mungu
 
sheremaya,

Wanaooleka ni 5%, huwa hawageuki nyuma.
Single maza uwe na amani ya kumuoa awe mjane. Kama jamaa yake yupo, una wakati mgumu. Sikushauri.
Mtoto kama mtoto huwa sio changamoto, ishu ni mzazi mwenzie kwa kigezo cha kuunganishwa na mtoto. Hapo hukwepi.
 
Sema yote lakini ukweli unabakia kuwa nazi haishindani na jiwe. Hata kama nazi na jiwe wana makosa, wakigongana nazi itapasuka na jiwe litaendelea kupasua nazi nyingine.
Wewe ni muumini wa dini gani hebu tuanzie hapo kwanza??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…