Hatukatai usingle mother,kwani huwezi kuzuia mwanamke kutiwa mimba na kuachwa,ila concern hapa ni kuwa ukishajijua wewe ni single mother na ukampata mwanaume amekupenda na akaamua kukuoa,tulizana,mheshimu sana,kwani ukumbuke kuanzia wazazi,ndugu na hata marafiki huwa hawafurahishwi na kuona mtu wao wa karibu kaoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto,kwahiyo cha muhimu kwa huyo mwanamke ni kuwa na heshima na kutulizana,sio kesho unaanza kuwatafuta tena waliokuzalisha mnaanza kuweka vilinge mitaani,hiyo haikubaliki...