Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mwenye ndoa ni mwanaume ikiwa kwa misingi ipi??
 
Oohh sasa si ungesema tu tangu mwanzo kwamba huo ni mtazamo wako wewe na siyo uhalisia sasa unapomuingiza hadi Mungu kwenye haya maswala una maana gani?? Kuwa makini!!
Mungu nimemuingiza wapi? Huo ndio uhalisia wenyewe, kwani uhalisia ni nini? Mimi nilipokataa kuwa kamwe sitaoa single mother, na nikatimiza, siyo uhalisia? Wanaume wengine wengi walipokataa hivyo visirani wakaoa wanawake watulivu wakazaa nao watoto, siyo uhalisia?
Hatutaki single mothers, huo ndio uhalisia wenyewe.
 
Hilo halibadilishi ukweli kwamba hata ninyi mnapokubali kushawishika pia mnakosea hivyo msijitetee kwamba eti mnashawishiwa wakati mmepewa uwezo wa kuvishinda vishawishi na vishawishi havina budi kuja sababu ndiyo vipimo vya imani na matendo ya mwanadamu hivyo wanawake makahaba wapo na wataendelea kuwepo ila swali ni je wewe unawezaje kuwakwepa au ndiyo utawaparamia halafu ukamuambie Mungu eti wanawake walinishawishi hivi unadhani kwa akili ya kawaida tu hata Mungu naye atakuelewa??
 
Inaonekana haujui binadamu walivyo wewe haya endelea kukariri tu
Topic inahusu ndoa na single mothers. Wengi hapa tunakataa kisirani hicho na tunaasa wanetu na vizazi vyetu waepukane nacho kabisa.
 
Pia hapa siongelei dhambi ya zinaa, naongelea vijana kutokuoa single mothers. By the way kwa nini ukabadili ID toka Marianah!?
Na sisi tunaongelea chanzo cha hao single mothers mnaotaka wasiolewe

Kumbe ndiyo umejua leo?? Nimependa tu!!
 
Karma,
Stay focused. Wanaume wajitetee au wasijitetee, haitabadilisha single mother awe kama wenzie waliotulia. Hafai ni hafai tu.
 
Jukumu la mwanamke si kupenda bali kutii, mwanamume ndiye mwenye kupenda. Sasa wanawake wa mwendo kasi wanajipa majukumu ya wanaume, matokeo yake ni kupotea.
Sidhani kama kuna binadamu anayeweza kumtii mtu asiyempenda na sijui kama mlielewa hata tafsiri ya hilo andiko?? Aise kazi kweli kweli!!
 
Stay focused. Wanaume wajitetee au wasijitetee, haitabadilisha single mother awe kama wenzie waliotulia. Hafai ni hafai tu.
Hafai kwako wewe ambaye ni binadamu kama yeye tu na siyo kwa Mungu aliyewaumba wewe na yeye
 
Hafai kwako wewe ambaye ni binadamu kama yeye tu na siyo kwa Mungu aliyewaumba wewe na yeye
Akishakuwa single mother tayari ameondoka katika list ya 'binadamu kama mimi' kwa hiyo hafai kwangu. Ana wenzake anaofanana nao akawafuate hao wamuoe. Wakimkataa hata hao basi ndio keshadoda hivyo!
 
Chanzo hakibadilishi kitu, akishakuwa single mother basi, ni nuksi hiyo.
Yaani wewe ndiyo kabisa umeishiwa hoja naona sasa umeamua uanze kuropoka tu kama kichaa hivi uliona wapi tatizo linajadiliwa au linatatuliwa bila kuangalia chanzo??

Dude go back to school and get some knowledge about problem solving skills then after that you can come back here to argue again!!
 
Kwahiyo tatizo tunalojadili hapa ni uwepo wa single mothers? Wewe ndiye uliyeishiwa hoja unaropoka.
Linalojadiliwa ni kuwa single mother hafai kuolewa na wanaume wa kundi fulani limetajwa (wapya kwenye ndoa), hao wengine (wazee waliokwishaoa zamani, wagane, wenye watoto bila ndoa) tukasema ruksa.
Kumbe wewe unaamini ukichimbua chanzo cha single mothers ndipo utashawishi waliokuwa hawawataki wawakubali? Kwani kujua hicho chanzo kutaondoaje hizo kasoro walizonazo? Eti kujua kuwa chanzo cha kovu ni moto kutafuta hilo kovu? Kama mtu hataki mwenye kovu, hata ukimwambia kovu lilitokana na moto wa dhahabu, bado kovu litabaki na litaendelea kuleta hisia ileile kila linapoonekana.
Single mother wakaolewe na hao waliozaa nao, vinginevyo watulie walee watoto wao.
 
Tukichimbua chanzo cha single mothers na kukifanyia kazi basi itasaidia kupunguza uwepo wao na siyo eti kufurahia ongezekao lao halafu waje kunyanyapaliwa
 
Kwahiyo mkuu wewe unadhani mwanaume kaumbwa na tamaa ila aje aitumie tamaa yake vizuri hapa duniani?? Kwamba hajapewa kabisa uwezo wa kuishinda hivyo hata akiitumia ni sawa tu si ndiyo??
Uwezo wa kushinda wakati unamkalia uchi? Wanawake wajipambe kwa staha. Mkitii hilo utawasaidia sana wanaume walio wengi kuishinda tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…