Kulikuwa na points za msingi sana ulikuwa unazizungumza, ila hii ya sasa sio. Mliambiwa mzae muongezeke hata kwa uzinzi? Hebu toka kwenye mihemuko then tumia akili, kuna hoja unazo, lakini Futa hii. KaribuNaona mmekosa hoja eti laana.? Laana isimpate aliyempa mimba mtu akamtekeleza mama na mtoto..eti apate aliyezaa,,, Good grief!,,, if anything kuzaa ni baraka,,, tuliambiwa tuzae tujaze dunia...Masingle mothers oyeeeee... hata mkulu alisema tuzae yeye atasomesha..lol
Waambie na hao wanaume wanaotengenezewa mazingira na wanawake wayakwepe hayo mazingira kama ambavyo mnataka wanawake wakitongozwa na wanaume wakataeSio sawa, bali mwwnamke kutengeneza mazingira ni kujikaanga mwenyewe
Unadhani wanaume wote ni wacaha Mungu? Tofauti ni kuwa mwanamke kama ni mcha Mungu ama sio mcha Mungu akipata mimba nje ya ndoa kajiangamiza mwenyewe, hilo halina dini.Yaani kwanza kabisa haujajibu swali langu halafu pili kwahiyo hao wanaume wanaowaomba wanawake wao wawazalie kabla ya ndoa wakati wanajua siyo vizuri ndiyo wako sahihi na wanafaa kuwa waume wa ndoa si ndiyo??
Nimempa mwanafunzi mimba nafungwa miaka 30. je huyo mtoto nitampaje matunzo ikiwa baba yake nipo kororoni kwa miaka 30? Unafikiri hiki kifungo kitapunguza kesi za mimba kwa wanafunzi? Nipo nje mada ila tunaelekea huko huko kwa single mother na single fatherTukichimbua chanzo cha single mothers na kukifanyia kazi basi itasaidia kupunguza uwepo wao na siyo eti kufurahia ongezekao lao halafu waje kunyanyapaliwa
Sasa ni andiko lipi linalosema wanawake ndiyo wawasaidie wanaume kuishinda tamaa yao?? Na nimeshakuambia kwamba vishawishi vipo na vitaendelea kuwepo sababu ndiyo vinavyopima imani na matendo ya wanadamu!!Uwezo wa kushinda wakati unamkalia uchi? Wanawake wajipambe kwa staha. Mkitii hilo utawasaidia sana wanaume walio wengi kuishinda tamaa
Basi kama ambavyo siyo wanaume wote ni wacha Mungu pia vile vile siyo wanawake wote ni wacha Mungu sasa msiwashutumu wanawake wasio wacha Mungu tu na kuwaacha wanaume wasio wacha Mungu kana kwamba kumcha Mungu ni jukumu la mwanamke tu na siyo mwanaumeUnadhani wanaume wote ni wacaha Mungu? Tofauti ni kuwa mwanamke kama ni mcha Mungu ama sio mcha Mungu akipata mimba nje ya ndoa kajiangamiza mwenyewe, hilo halina dini.
Je ni wanaume wangapi wanawapa wanafunzi mimba na wanakubali kwa hiyari yao kutoa matunzo kwa watoto??Nimempa mwanafunzi mimba nafungwa miaka 30. je huyo mtoto nitampaje matunzo ikiwa baba yake nipo kororoni kwa miaka 30? Unafikiri hiki kifungo kitapunguza kesi za mimba kwa wanafunzi? Nipo nje mada ila tunaelekea huko huko kwa single mother na single father
Usipoijua thamani yako hakuna mtu atakayejua thamani yako. Kila mtu anapata raha kwenye ngono ila tambua anayeathirika sana kwenye ngono ni mwanamke. Ndiyo maana unaona jamii inawanyooshea kidole sana single mother ili kupunguza tatizo la wanawake kuwa single mother. Simaanishi kuwa mwanaume hana makosa naye pia anamakosa na yeye anapaswa kujilinda ila mwanamke anapaswa zaidi kujilinda. Siku hizi kupata bunye ni rahisi sana tofauti na zamani ila anayeathirika ni mwanamke. Mwanaume anapiga mimba anakimbia,mtoto anabaki kulelewa na mwanamke kwa manung'uniko makubwa. Kuwasema wanawake itasaidia sana kama ilivyokumpa mwanafunzi mimba ukafungwa miaka 30 jela. Ifike mahali wanawake muamke usizae na mtu usiyemjua na kama ikitokea ni kwa bahati mbaya ila hiyo mimba ipatikane mkiwa mnaishi wote na siyo mimba za Guest House au upo umepanga unaenda kupigwa mashine kwa jamaa. Kuna uzazi wa mpango upo, tumia vidonge na siyo upigwe mimba uachwe halafu uende kuandamana kwa makonda.Je ni wanaume wangapi wanawapa wanafunzi mimba na wanakubali kwa hiyari yao kutoa matunzo kwa watoto??
Unajisikia raha sana kuwanyooshea kidole na kuwahukumu wamama wasio na hatia.Basi fahamu haya:
Mwanamke aliyezaa huhamishia mapenzi kwa mwanaye. Hali huwa hivyo hata ndani ya ndoa, kiasi kwamba ndoa nyingi hupoteza mvuto pale tu mtoto anapozaliwa. Kwako wewe kijana unayetaka kujitwika mabomu uoe single mother.
Mwanamke anatakiwa aolewe katika ubikira wake ili mwanamume kujisikia kwamba kweli amepata mtu mwaminifu. Lakini kama hata hilo halikutosha kukushawishi, usithubutu kuoa mwanamke ambaye ni single mama, labda kama una uvumilivu usiopimika. Yako mambo kadhaa ambayo yanamfanya single mama asiwe sehemu ya mtarajiwa wa ndoa.
1. Single mama wengi ni matokeo ya uzinzi ama uasherati. Binti anapojiingiza kwenye mapenzi kabla ya ndoa kwa kigezo cha kutafuta kuolewa ni dalili mbaya hata kama ataolewa kweli. Hii inaonyesha kuwa ana udhaifu kwenye eneo la ndoa kiasi kwamba yuko tayari kuutumia mwili wake kama rushwa ili kufanikisha ndoa. Hii haitofautiani na mwanamke aliye ndani ama nje ya ndoa kutumia tigo yake kama kishawishi cha kumshika mwanamume. Unapotumia ngono kama sehemu ya ushawishi, ama kama silaha ya kumteka mwanamume ujue kwamba unaondoa thamani yako na kuingia kwenye kundi la makahaba. Ni kweli uchi wa mwanamke ndio silaha yake kwenye mahusiano, lakini si kwa kuigawa hovyo, bali kwa kuwanyima wanaoitamani ili apatikane mwenye nia thabiti ya ndoa.
Inapotokea binti kajiingiza kwenye mapenzi mpaka kupata mimba, tayari keshapata muunganiko mwingine na mwanamume aliyempa mimba hiyo, tayari wameunganishwa na mtoto huyo, ingawa bado mwanamume aliona huyu mwanamke hafai kuwa mke, alikiwa anamtumia tu kukidhi kiu yake mpaka pale atakapompata mtu sahihi. Sasa wewe ni nani hata ukajiingize kuoa mwanamke wa aina hii?
2. Single mama hawezi kukupenda kwa jinsi ulivyo, bali kutakuwa na sharti la mtoto. Kwamba iwapo utamtunza mtoto kama single mama atakavyo basi utapewa mapenzi matamu. Ni ukweli usiopingika kuwa mwanamke apatapo mtoto mapenzi yote huhamia huko, hivyo wewe jiandae kuwa chaguo la pili kwake. Haya sio mapenzi na ujue tu kuwa huwezi kuwa na amani kamwe.
3. Mtoto si wako. Hata kama utampenda na kumhudumia kwa namna yoyote ile, ukweli utabaki kuwa huyo si mwanao, sio damu yako. Ni kwamba umejitwika jukumu la kumhudumia mtoto wa mwanaume mwenzako ambaye ndiye ataendelea kutambulika kama baba mzazi. Siku akikua ataanza kumtafuta aliyechangia mbegu mpaka akaja dunuani, sio aliyechangia ugali. Ikitokea mmeachana na single mama, ujue ndio mwisho wa kuonana na mwanao mpenzi uliyekuwa ukimtunza kwa nguvu zako zote.
4. Utatumia nguvu kubwa kulilinda penzi. Ili ujihakikishie kuwa single mama anatulizana na wewe, utahitaji kuishi maisha ya kumfurahisha yeye, kumpa atakacho ili asije akamkumbuka mume wake wa kwanza. Namna pekee ya kumfurahisha ni kuhakikisha mtoto wa mwanamume mwenzako anapata maatunzo mazuri, nguo nzuri, elimu nzuri n.k. Utalazimika kuwa karibu naye kuliko hata baba mzazi anavyokuwa, yote haya ni kutafuta kumfurahisha single mama. Utaishi maisha ya kujipendekeza, yenye stress nyingi.
5. Huna sauti juu ya mtoto. Hata kama utataka umchujue mtoto huyu kuwa mwanao kamili, umpe malezi halisi ya mzazi, kuna mahali utakwama tu. Huwezi kumwadabisha kwa mikono miwili, lazima mmoja utakuwa nyuma na mwingine utakuwa mbele. Mara zote utakaa ukijiuliza, labda nikimfanya hivi mama yake atadhani namchukia, jamii nayo itanifikiria vingine. Utajikuta wewe mwenyewe unajiwekea mipaka hata kabla pilato hajakuhukumu kwa kuvuka mstari!! Pigo kubwa zaidi ni pale single mama atakapokutamkia kuwa unamtendea hivyo kwa sababu mtoto sio wako. Hapo utabaki kama mjinga fulani aliyepigwa bumbuwazi asijue aukabili vipi ukweli huu mchungu.
6. Chanzo cha vurugu kwenye familia. Hata ikitokea mmezaa watoto wengine, bado mapenzi hayawezi kuwa sawa. Single mama wana kawaida ya kuwaandalia mazingira watoto wa baba wengine tofauti hao wa baba waliye naye wakati huo. Hufanya hivyo kwa hofu kuwa watoto hawa mara nyingi hawana urrithi kwa baba aliyewalea. Hii huleta mgawanyiko mkubwa kwenye familia kiasi cha watoto wenyewe kuchukiana. Hata ndugu wa mwanamume hawawezi kamwe kumhesabu mtoto huyu kama sehemu ya familia kwa sabubu sio damu yao na anao ukoo mwingine kabisa. Hawezi kujitambulisha kwa jina la baba wa kambo kwa sabubu hana muunganiko wowote naye. Hata ikitokea baba mlezi amekufa, ukoo wake hauwezi kumhesabu mtoto huyu kama sehemu ya urithi. Tunajifunza kwa wanyama wengine pia kama simba, ambapo anapoinuka dume mwingine kuongoza majike, huua watoto wote àliowakuta kisha huanza upya kusaka watoto wake. Sasa sisi hatuwezi kuua, bali tunaweza kuepuka taabu hii kwa kutokuoa mwanamke mwenye watoto.
7. Mume wa kwanza ana nafasi ya kuendelea kumtafuna single mama atakavyo. Kwa kawaida mwanamke akishazaa na mwanamume, ule muunganiko huwa haufi. Tayari ni mzazi mwenza na hana cha khmficha tena, hivyo kupasha kiporo ni jambo la kawaida tu. Pia mama atataka mtoto amjue baba yake halisi kwa ajili ya siku zijazo, hivyo hawezi kujiweka mbali na mzazi mwenzake. Sasa mzazi mwenza ni juu yake kuamua kuendelea kumla ama la, kwani hakuna kutongozana tena, ni kupanga miadi tu na kukutana kuserebuka. Kidume wewe utageuzwa baba mlishi huku haki nyingine zote zikielekezwa kwa mwenye mwanaye.
Ukweli ni kuwa single mama anapopata mume, focus yake sio ndoa bali ni malezi ya mwanaye. Anataka uhakika tu kuwa mwanae ataishi na atapata matunzo bora ili siku za usoni aje kumsaidia yeye.
Ewe kijana, usijiingize kwenye mtego utakaoharibu maisha yako. Tafuta bikira atakayefunga kiapo nawe, achana na wanawake waliozaa hovyo kwa kukosa mwelekeo.
Hapa sijazungumza juu ya walioolewa kisha waume zao kufariki, kwani kwao hawa yako mambo mengi pia nyuma ya pazia ya kuchunguza.
Kuombwa hivyo ni kitu kimoja, kukubali ombi ni kitu kingine. Mwanamke anayekubali upuuzi huo hafai kuwa mkeYaani kwanza kabisa haujajibu swali langu halafu pili kwahiyo hao wanaume wanaowaomba wanawake wao wawazalie kabla ya ndoa wakati wanajua siyo vizuri ndiyo wako sahihi na wanafaa kuwa waume wa ndoa si ndiyo??
Kama ilivyo hapo. Mwanamke anamzalia mumewe watoto ili kuendeleza ukooMwenye ndoa ni mwanaume ikiwa kwa misingi ipi??
Na mwanaume anayeomba??Kuombwa hivyo ni kitu kimoja, kukubali ombi ni kitu kingine. Mwanamke anayekubali upuuzi huo hafai kuwa mke
Kwahiyo hiyo sababu inampa mwanaume haki ya kujihalalishia makosa na kufanya maovu anavyojisiikia si ndiyo??Kama ilivyo hapo. Mwanamke anamzalia mumewe watoto ili kuendeleza ukoo
Wewe ongelea chanzo ambacho kimsingi ni malezi mabovu ya binti. Ukija kushtuka wote mimbaNa sisi tunaongelea chanzo cha hao single mothers mnaotaka wasiolewe
Kumbe ndiyo umejua leo?? Nimependa tu!!
Tupe wewe tafsiri. Wewe mwanamke kujipa kuoenda ni mwanzo wa ukengeufu, ndio maana mnadanganywa kirahisi. Anayeoa ndiye ajuaye kupenda, si vinginevyo.Sidhani kama kuna binadamu anayeweza kumtii mtu asiyempenda na sijui kama mlielewa hata tafsiri ya hilo andiko?? Aise kazi kweli kweli!!
Tupe wewe tafsiri. Wewe mwanamke kujipa kuoenda ni mwanzo wa ukengeufu, ndio maana mnadanganywa kirahisi. Anayeoa ndiye ajuaye kupenda, si vinginevyo.Sidhani kama kuna binadamu anayeweza kumtii mtu asiyempenda na sijui kama mlielewa hata tafsiri ya hilo andiko?? Aise kazi kweli kweli!!
Hivi kwanza watoto wa kiume wanatakiwa walelewaje labda??Wewe ongelea chanzo ambacho kimsingi ni malezi mabovu ya binti. Ukija kushtuka wote mimba
Asiyejua maana haambiwi maana!!Tupe wewe tafsiri. Wewe mwanamke kujipa kuoenda ni mwanzo wa ukengeufu, ndio maana mnadanganywa kirahisi. Anayeoa ndiye ajuaye kupenda, si vinginevyo.
Asiyejua maana haambiwi maana!!Tupe wewe tafsiri. Wewe mwanamke kujipa kuoenda ni mwanzo wa ukengeufu, ndio maana mnadanganywa kirahisi. Anayeoa ndiye ajuaye kupenda, si vinginevyo.