Ila ni wengi mnoBaadhi sio wote jamani
[emoji3][emoji3][emoji85][emoji85]
Ila ni wengi mno
wanaume acheni unafiki jaman
ni woteSio wote hahaha
Kuzaa bila ndoaChanzo cha single mothers ni nini??
Jibu kwanza kuhusu kuvaa kwa kujisitiri, unaelewaje?Kama ulivyoniletea hili andiko niletee na andiko lililosema mwanamke ndiye anayetakiwa ajitunze ili kumuokoa mwanaume, nasubiri.
Wenye mtazamo kama wako wataendelea kuwapo tu, lakini wapo wanawake wengi waliosituka na kujirudiTangu single mothers wameanza kupigiwa ramli kuna kizazi kimenusurika??
Tangu watu waanze kuhubiriwa waache dhambi wote wameacha?Tangu single mothers wameanza kupigiwa ramli kuna kizazi kimenusurika??
Wewe wasemaKwahiyo uanaume ni kubaka mabinti au kutongoza wanawake kwa lengo la kuwachezea??
Kuthibitisha nini? Mada ni single mother vs vijana, hayo maandiko ni matakwa yako lakini nitakusaidia, unataka nini?Wewe ndiyo hauna ujualo kwa sababu wewe mwenyewe umesema unaongea kweli ya Mungu tu ila nikikuambia uniletee andiko linalothibitisha hayo yote unayoyasema hauleti sasa hauoni kama hayo yanabaki kuwa maneno yako ya kutunga tu?? Labda utuambie unaongea kweli ya mungu yupi maana miungu iko mingi!!
Ni kweli miungu iko mingi, mingine inataka watu wazae hovyoWewe ndiyo hauna ujualo kwa sababu wewe mwenyewe umesema unaongea kweli ya Mungu tu ila nikikuambia uniletee andiko linalothibitisha hayo yote unayoyasema hauleti sasa hauoni kama hayo yanabaki kuwa maneno yako ya kutunga tu?? Labda utuambie unaongea kweli ya mungu yupi maana miungu iko mingi!!
Tafadhali ficha upumbavu wakoKuzaa bila ndoa
Kuvaa kwa kujisitiri siyo suluhisho, nilishakuambia kuna wanaume wanatongoza hadi wanawake wanaovaa mabaibui kila siku.Jibu kwanza kuhusu kuvaa kwa kujisitiri, unaelewaje?
Basi tambua kuwa hata wanaume wapo waliojitambua na kuutambua ukweli na kujirudiWenye mtazamo kama wako wataendelea kuwapo tu, lakini wapo wanawake wengi waliosituka na kujirudi
Sasa basi wewe unawaponda humu mitandaoni ili iweje??Tangu watu waanze kuhubiriwa waache dhambi wote wameacha?
Ndiyo unachokimaanisha hicho!!Wewe wasema
Andiko linalosema kwamba wanawake waache maovu ili wawasaidie wanaume nao kuacha maovu (kama ulivyosema wewe)Kuthibitisha nini? Mada ni single mother vs vijana, hayo maandiko ni matakwa yako lakini nitakusaidia, unataka nini?
Lakini angalau Mungu aliyetuumba hajaruhusu wanaume wawazalishe hovyo wanawake kwa sababu yoyote ileNi kweli miungu iko mingi, mingine inataka watu wazae hovyo
Kumbe unalo jibu lako.Tafadhali ficha upumbavu wako