Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kama ulivyoniletea hili andiko niletee na andiko lililosema mwanamke ndiye anayetakiwa ajitunze ili kumuokoa mwanaume, nasubiri.
Jibu kwanza kuhusu kuvaa kwa kujisitiri, unaelewaje?
 
Wewe ndiyo hauna ujualo kwa sababu wewe mwenyewe umesema unaongea kweli ya Mungu tu ila nikikuambia uniletee andiko linalothibitisha hayo yote unayoyasema hauleti sasa hauoni kama hayo yanabaki kuwa maneno yako ya kutunga tu?? Labda utuambie unaongea kweli ya mungu yupi maana miungu iko mingi!!
Kuthibitisha nini? Mada ni single mother vs vijana, hayo maandiko ni matakwa yako lakini nitakusaidia, unataka nini?
 
Ni kweli miungu iko mingi, mingine inataka watu wazae hovyo
 
Wenye mtazamo kama wako wataendelea kuwapo tu, lakini wapo wanawake wengi waliosituka na kujirudi
Basi tambua kuwa hata wanaume wapo waliojitambua na kuutambua ukweli na kujirudi
 
Kuthibitisha nini? Mada ni single mother vs vijana, hayo maandiko ni matakwa yako lakini nitakusaidia, unataka nini?
Andiko linalosema kwamba wanawake waache maovu ili wawasaidie wanaume nao kuacha maovu (kama ulivyosema wewe)
 
Aisee nimekuelewa sana kwa uzi huu mkuu .Cjui nilikia wapi kujaa siti ya mbele kukupa pig up .
Umeeleza ukweli mtupu .Nilishasema issue ya kuoa single mama siwezi kamwe matatzo yake ndo Kama ulivyoeleza .Bora nibaki single Milele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nikishindwa kabisa nitaoa hata mkubwa zaidi yangu lakin asiye na mtoto
 
Back
Top Bottom