[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] lazma atarudi kwa baharia wake tu.
Wakati mwingine inabidi tuanze wenyewe si kila kitu tuisukumie serikaliSerikali itoe elimu
Single Mother mpambanaji huwa anapata wapi muda wa kuwalea watoto zake ? Au anakuwa anapambanaje ? Ufafanuzi tafadhali ?
Hivi inakuwaje au ni wakati gani mwanamke anakuwa kwenye ndoa halafu anasimamia mambo yote yeye ?
Kwahiyo umeamua kunianika sio ? Hahahahahaha.Kama mimi na wewe si show zote nasimamia mwenyewe.
Kuanzia kodi, mavazi kula n. K
Kwahiyo umeamua kunianika sio ? Hahahahahaha.
Mzima lakini ?
Ngoja nirudi kuilea familia yangu.Ndo jamii ijue kuwa umetelekeza familia.
Ngoja nirudi kuilea familia yangu.
Sawa.Si nilituma 7800 au ?Eee mambo ya kutuma 17,500 baada ya miezi 18 uache lea familia baba.
Nimacha kuanzia sasa hivi.Eee mambo ya kutuma 17,500 baada ya miezi 18 uache lea familia baba.
Sawa.Si nilituma 7800 au ?
Poa.Nilisahau
my sister sijui maybe wewe ni single mother. lakini kabla ya mimi kukupenda lazima nijue uko aje, una mtoto au la, kaa uko nae sasa nakuona tu kaa wewe ni dada yangu tuliezaliwa tumbo moja, hii maneno ya eti love is blind is sheer stupidity, love can be blind but lovers do have eyes to see and minds to think with, kuwa na a very happy and blessed weekend my dearAhahaha hujapenda bd ww
HayaNa mimi
Marrianah uko powa kabisa? Nimekumiss sana mrembo [emoji8]
SureKinachonifurahisha ni kwamba sitaoa Africa else ningeua mtu kabla jogoo hajawika.
A black woman then a single mom surpasses an atomic bomb.