Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mkuu sitaki kuamini unasema upambanaji ni kama vita basi hakuna muda wa kukaa na mtoto.

Swala hapo ni kijishughulisha ila inategemea wakati mwingine kuna shughuli zinaweza chukua muda wote wa mama ila kuna zingine hapana.

Kama ilivyo mwanamke mfanyakazi mfano mzuri labda ni mwalimu utasema muda wote anatumia kufundisha(kama ni muajiliwa) ila kuna ambao si waajiliwa anafanya biashara zake uwezi kiniambia Masaa yote 12 hakose muda wa kukaa na mtoto hata masaa 5.

Single Mother mpambanaji huwa anapata wapi muda wa kuwalea watoto zake ? Au anakuwa anapambanaje ? Ufafanuzi tafadhali ?
 
Ahahaha hujapenda bd ww
my sister sijui maybe wewe ni single mother. lakini kabla ya mimi kukupenda lazima nijue uko aje, una mtoto au la, kaa uko nae sasa nakuona tu kaa wewe ni dada yangu tuliezaliwa tumbo moja, hii maneno ya eti love is blind is sheer stupidity, love can be blind but lovers do have eyes to see and minds to think with, kuwa na a very happy and blessed weekend my dear
 
Back
Top Bottom