Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Ili iwejeEnzi zetu uchumba ilikuwa miaka 20 baada ya hapo ndio unaoa.
Kwetu wazee wanatanua makucha yao maana anajua kuwa hakuna mapenzi ila ni kucheki kama dawa imefanya kazi tuKwa wazee ni wachungu sio
Nimesema binti mkuuHuyu mtoto si wa Joshua, jamaa alimuoa akiwa tayari keshazaa na Mwanaume wake wa zamani.View attachment 1239108
Ahahaaa dawa gani tena? Kwani wagonjwa?Kwetu wazee wanatanua makucha yao maana anajua kuwa hakuna mapenzi ila ni kucheki kama dawa imefanya kazi tu
What are you tryin to prove young lady?Mtoto wa mwakasege alikuwa anazini?
Mmh Hana uzuri wowoteMzuri sana Yule mdada
Kama ni makucha basi mpaka yaote.Ili iweje
Bora huyu aliyekwepa aibu ya kulea na kuishi na zao la dhambi. Ametoa na kutubu na amesamehewa.kwanza mi naona bora singo maza kuliko wanaofanya maamuzi magumi ya kuwa mama wa marehemu
Mchungaji Alishindwa kusimamia kondoo wakeWhat are you tryin to prove young lady?
Basi hujaelewa mada, habari y kumlea akaenda zake na wewe kuwa hivyo ni sawa, bali ukweli ni kuww unalea mtoto wa mwingine. Pamoja na muda mfupi duniani Mungu ameweka misingi yake ifuatwe, haimaanishi tuenende tu kama misukule kisa muda ni mfupi.
Alimuoa kwanzaMtoto wa mwakasege alikuwa anazini?
Mchungaji Alishindwa kusimamia kondoo wake
Anaitwa lilian Kamazima aliwai kuwa miss Tanzania 2014 to 2016 yupo instagram anatumia jina ilo ilo kama unataka picha yake
Lile duka la Nguo pale stand ndogo aliyemfungulia na kulijaza vile ni Joshua wala si Mwanaume mwingine wala sio huyo Mzungu.Na wala hakuwa karudiana na baba mtoto wake
Ni kuwa yule miss alimpata mzungu mwenye kitita zaidi ya Josh
Sawa MkuuAchakusema vitu ambavyo havipo,ujinga wao ndio unao wafanya kushindwa kuelewa uhalisia wa mambo Mungu hampangii binadamu ndoa ndio maana kampa utashi wa kufanya maamuzi. Jambo linalo ongelewa hapa nikama elimu tuu ya kumsaidia mwanaume na mwanamke asije akafeli kwenye utashi aliopewa kwa yale yanayo mkabili.. najua wanawake wanafikiri wanasimangwa ila kiukweli mnafeli pakubwa hata second chances mnazopata bado mnaziaribu its sad vry sad.