Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Nadhani walikuwa wa dunia tofauti.
Mmoja dunia ya Wasanii, Bongo muvi, Bongo flavor, Night clubbing, Queen calling, Drinking, Dancing, Whatsaping, Dating, Love story and style, phonicating and eating, Cultural differences
Nk
Mwingine dunia ya Heshima na kulinda heshima. Writing and Reading political and religional issues.
Nk.
Hawawezi kaa chungu kimoja salama, mmoja alimpasa kuhamia dunia ya mwingine haraka Sana.
Wahenga wakisema
"Wastara hadhumbuki wambili havai moja"

Kama wewe ni wamoja basi ishi na wamoja.
Kamwe wambili hawezi kuishi na wamoja.
wambili ni wambili.
Tafuta wamoja mwenzako
 
Nakataa kifo Cha Joshua kusababishwa na Lilian kamazima kurudiana na mwanaume aliyezaa nae..ila nakubaliana na ujinga wa tamaa uliomjaa yule binti kwa kumuacha Joshua na kwenda kwa mtu mwenye mapesa mengi ikiwa alipokua ovyo Hana wa kumsaidia Joshua ndiye aliyempa support Tena kubwa mno.

R.i.p kijana wa mwakasege.
 
Basi hujaelewa mada, habari y kumlea akaenda zake na wewe kuwa hivyo ni sawa, bali ukweli ni kuww unalea mtoto wa mwingine. Pamoja na muda mfupi duniani Mungu ameweka misingi yake ifuatwe, haimaanishi tuenende tu kama misukule kisa muda ni mfupi.

Mie kulea Mtoto wa mtu sio shida, maana hata mie ningeweza kuwa Mtoto wa huyo mtu!
 
Anaitwa lilian Kamazima aliwai kuwa miss Tanzania 2014 to 2016 yupo instagram anatumia jina ilo ilo kama unataka picha yake
Na wala hakuwa karudiana na baba mtoto wake
Ni kuwa yule miss alimpata mzungu mwenye kitita zaidi ya Josh
Lile duka la Nguo pale stand ndogo aliyemfungulia na kulijaza vile ni Joshua wala si Mwanaume mwingine wala sio huyo Mzungu.

Na bado baada ya hapo akamwacha.

Tamaa ni mbaya sana.
 
Achakusema vitu ambavyo havipo,ujinga wao ndio unao wafanya kushindwa kuelewa uhalisia wa mambo Mungu hampangii binadamu ndoa ndio maana kampa utashi wa kufanya maamuzi. Jambo linalo ongelewa hapa nikama elimu tuu ya kumsaidia mwanaume na mwanamke asije akafeli kwenye utashi aliopewa kwa yale yanayo mkabili.. najua wanawake wanafikiri wanasimangwa ila kiukweli mnafeli pakubwa hata second chances mnazopata bado mnaziaribu its sad vry sad.
Sawa Mkuu
 
Back
Top Bottom