Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mwanamume hata ukilala kama gogo atakojoa tu, na furaha yote ipo hapo, get the facts straight
Sasa mbona wanaume wengi leo hii wanachepuka kwa sababu ya kukosa staili za kikahaba (kutoka kwa wake zao) wanazopewa na michepuko yao??

Kuna mwanaume aliwahi kuanzisha uzi akisema kwamba mwanamke hata awe na tabia nzuri kiasi gani kama siyo mbunifu kitandani mume atachepuka tu atamuacha na tabia zake na siyo yeye tu ni wanaume wengi wanasema hivyo!!
 
Kuolewa sio hoja kwani hakuna aliyesema single mother hawaolewi. Hoja ni kuwa wanaume wajue wwnaoa kitu gani, hivyo badili mentallity yako. Kulilia kuwa single mother sio sifa njema, kama ilivyo kumuoa.
Sasa kama hoja siyo kuolewa basi hata kwa wanaume pia hoja siyo kuoa maana ni kweli single fathers wanaoa lakini je ni sahihi??
 
Duuh hatar tupu
Wanawake wanawake wanawake
Mmmmh Mungu tuepushe kwa kwel
Haya ni majaribu sanaa, tatizo ni nn???

Wanaume wenyewe wachache hivi Bado mnatupa stress za maisha hadi tunakufa

Bora kuishi pekee yako tuu
 
Kwenye yale mambo mkuu,inabidi uwe muhuni tu.....hata kama unahubiri injili,injili weka pembeni kwanza.
 
Hivi unamzungumzia
Mwakasege yupi? Yule mhubiri? Namfahamu tu kwa jina la mchungaji Mwakasege. Je ndie unaemzungumzia?. Amefariki lini?
 
Mkuu unaweza staili zipi?
 
Unaanzaje kumuoa singo maza??? Mabaharia mnakwama wapi? Njooni niwape connection ya mabinti bikra wanaosubiria upepo wa kisulisuli ili waolewe.

Usithubutu! Usithubutu! Usithubutu! Kuoa singo maza, ni maana hiyo.
Baharia haoi single maza hao tafuta jina jingine.
 
So sad...
 
Apumzike kwa amani!
Mama Mwakasege Kwenye mkutano wao nakumbuka alisisitiza tuwaombee sana watoto wetu wa kiume!

Watoto wa kiume wana mizigo mizito sana vifuani mwao, na hawana wa kumweleza kwa kuogopa kuonekana dhaifu!!

Aliongea kwa uchungu mnoo, ila nilielewa uchungu wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…