Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kumbe kuna watu mnachukulia thread za humu very seriously kiasi cha kuzifanya reference ya maisha ya kwenye jamii.
 
Wanaume walioharibika akili, usisikilize hadithi za abunuwasi. Staili za kitandani zimelenga kumridhisha mwanamke zaidi kuliko mwanaume. Na aina ya wanawake hawa ni wale waliochezewa sana na kupata ujuzi hata usiokuwapo.

Ndio maana mume akipata mke humtenda kwa utulivu kwani mke ni yule aliyetulia mwenye bikra yake hana makeke ya kitaa, asiyemjua mwanamume bado. Ukiona mwanamke analalamika kudai staili nyingi nyingi jua umeoa kahaba, ndivyo ilivyo kwa mwanamume pia. Akidai staili mpaka mnatazama na picha za ngono ujue kuna kasoro kichwani
 
Kumbe kuna watu mnachukulia thread za humu very seriously kiasi cha kuzifanya reference ya maisha ya kwenye jamii.
Soma tena sentensi yangu ya mwisho vizuri kwenye hiyo comment uliyoniquote!!

Mfano tuanze na wewe hapo ulipo unapenda mwanamke anayekaa kama gogo tu??
 
Aisee basi kama nawaona asilimia 80 ya wanaume wote duniani walivyoharibika akili maana karne hii ni mwanaume gani anayependa mwanamke anayekaa kama gogo kitandani (kwa mujibu wao)

By the way nikipata mwanaume asiyependa hayo mastaili ya kikahaba nitamshukuru Mungu
 
Walientatein ujinga
Mtoto wa mtumishi mkubwa kama mwakasege hakutakiwa kuishi kinyumba na mwanamke bila ndoa.
Kwanini waliruhusu?
 
Soma tena sentensi yangu ya mwisho vizuri kwenye hiyo comment uliyoniquote!!

Mfano tuanze na wewe hapo ulipo unapenda mwanamke anayekaa kama gogo tu??
Hapana.

na pia ili hasiwe gogo hahitaji kulala na wanaume wengi au tofauti tofauti
 
Kwenye semina ya Ndoa Mwakasege na Mke wake waliongea kimafumbo kuhusu kijana wao

Yule mama alipoanza kuongea aisee Wanawake waliokuwa kwenye semina walilia sana.

Joshua alikuwa anaogopa kusema yanayomkabili kwasababu alishavulia maji nguo.
 
Ni kweli kabisa, wanaume kuna mambo ambayo huwa hawawezi kuzungumza kama kuchapiwa, kitu ambacho kinawauwa ndani lwa ndani

Wanahitaji maombi sana
 
Duh kweli mtoto mrembo
Anaitwa lilian Kamazima aliwai kuwa miss Tanzania 2014 to 2016 yupo instagram anatumia jina ilo ilo kama unataka picha yake
nimemkuta Instragam na picha nyingi yupo na celebrities kina Kigosi na hakuna hata moja na J. Mwakasege
nimeamini kuoa ni chaguo la Mungu ndio maana Mtumishi Mwakasege wakati anapewa taarifa za Kifo alikuwa najiandaa kupanda Jukwaani huko Mbeya, ilibidi apande na ahubiri km kawaida ndipo mwisho akawatangazia amepatwa na msiba wa mwanae, waumini walisononeka na vilio (kumbe alijua jeuri ya mwanae na binti single mother)
vijana angalieni pia tabia na makabila Mnyakyusa kwa Mhaya /mkerewe wapi na wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…