Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Siku zote ukiona mechi inaanza huku mwenzako ameshafunga goli moja bhasi ujue mbeleni lazima kutakuwa na shida
 
Inawezekana ni kweli hajatumia akili kurudiana na baba watoto wake

Lakini kimsingi hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayependa kuzaa na wanaume tofauti tofauti,halafu mapenzi yana nguvu kuliko akili
@Joanah umetema madini
 
Ni kweli kabisa, wanaume kuna mambo ambayo huwa hawawezi kuzungumza kama kuchapiwa, kitu ambacho kinawauwa ndani lwa ndani

Wanahitaji maombi sana
Nichapiwe nisiseme?? Aseeh tuko tofauti sana duniani hapa!!

Mwanamke kwangu ukianza nyendo sizo tu kelele zake/vita yake utaniacha mwenyew iwe nakupenda au unanipenda sitakag kufuga ushuzi kwenye mahusiano........ Ndo shida ya kuibukia papa ghafla, wale tulioanza uhuni ndo tukaoa huwezi kuta tunasumbuliwa na wanawake /mapenzi kirahis.
 
Sio watumu, sema wanapatikana kirahisi kuanzia kutengeneza mahusiano hadi mechi za kirafiki hakuna ratiba.
Ulichosema mkuu kina kaukweli ndani yake. Unajua mkuu vibinti vilivyozalishwa na kuachwa sio visumbufu kabisa.
 
Hapo kwenye “USHAURI” sidhani kama kunahitaji kupepesa macho,edit pale juu andika "HAKIKISHA KWANZA KWAMBA MZAZI MWENZAKE KAMA AMESHAKUFA NA ISIWE KWA MANENO TU HATA CHETI CHA KIFO DAI UONYESHWE ILI UTHIBITISHE".

Singo mama ni makombo ambayo hayafai hata kuangalia naandika haya atakaechukia na achukie ila ndiyo ukweli wenyewe.
 
Dah!! Marehemu pole sana. Ila mi sioni noma kuachwa. Maisha yanaendelea tu.
 
Na wala hakuwa karudiana na baba mtoto wake
Ni kuwa yule miss alimpata mzungu mwenye kitita zaidi ya Josh
Yaani licha ya kupata mzungu .......yule dogo kalelewa kilokole hata kile kitendo cha kumkisi mwanamke asiye mke ni dhambi kwake..... hiyo just kiss au kugonga kishua tu. Sasa tatizo linakuja dada kazoea mapenzi ya vurugu....kwanza kulewa sana, kugongwa kigengster hadi kuliwa jicho. Dogo wa kilokole hata kama ana pesa hayo mambo hana na hicho ndo kinafanya yule mwanamke aone dogo hamna kitu anatafuta mabaharia wake wanaompatia hizo vurugu. Dogo aliingia kwenye maji siyo yake lazima azame.

R.I.P joshua
 
Kuwa Single Mother kama mnavyojua wadau changamoto huwa hazikosi, pia na faida huwa ni nyingi tu. sasa nawakaribisha wadau mtoe changamoto mnazokumbana nazo kwenye ndoa zenu na masingle mother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…