Sadock Kabuko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 1,166
- 1,075
Siku zote ukiona mechi inaanza huku mwenzako ameshafunga goli moja bhasi ujue mbeleni lazima kutakuwa na shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Single motherHuyu mtoto si wa Joshua, jamaa alimuoa akiwa tayari keshazaa na Mwanaume wake wa zamani.View attachment 1239108
Si ndio hapo sasaSi kweli mwanaume hawezi kukusaliti kwa sababu wewe ni gogo. Ila anakusaliti kwa sababu anaendeshwa na tamaa. Unaweza ukaweka style zako zote na bado ukasalitiwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"mwalimu wenu ni kipofu". Alisikika mzee mmoja mwenye upara na busara zake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usiandike kwa Sauti Hawa wanaume wa Humu watasikia
@Joanah umetema madiniInawezekana ni kweli hajatumia akili kurudiana na baba watoto wake
Lakini kimsingi hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayependa kuzaa na wanaume tofauti tofauti,halafu mapenzi yana nguvu kuliko akili
Nichapiwe nisiseme?? Aseeh tuko tofauti sana duniani hapa!!Ni kweli kabisa, wanaume kuna mambo ambayo huwa hawawezi kuzungumza kama kuchapiwa, kitu ambacho kinawauwa ndani lwa ndani
Wanahitaji maombi sana
Ulichosema mkuu kina kaukweli ndani yake. Unajua mkuu vibinti vilivyozalishwa na kuachwa sio visumbufu kabisa.Sio watumu, sema wanapatikana kirahisi kuanzia kutengeneza mahusiano hadi mechi za kirafiki hakuna ratiba.
Yule mchungaji amefariki mwaka janaHivi unamzungumzia
Mwakasege yupi? Yule mhubiri? Namfahamu tu kwa jina la mchungaji Mwakasege. Je ndie unaemzungumzia?. Amefariki lini?
Yaani licha ya kupata mzungu .......yule dogo kalelewa kilokole hata kile kitendo cha kumkisi mwanamke asiye mke ni dhambi kwake..... hiyo just kiss au kugonga kishua tu. Sasa tatizo linakuja dada kazoea mapenzi ya vurugu....kwanza kulewa sana, kugongwa kigengster hadi kuliwa jicho. Dogo wa kilokole hata kama ana pesa hayo mambo hana na hicho ndo kinafanya yule mwanamke aone dogo hamna kitu anatafuta mabaharia wake wanaompatia hizo vurugu. Dogo aliingia kwenye maji siyo yake lazima azame.Na wala hakuwa karudiana na baba mtoto wake
Ni kuwa yule miss alimpata mzungu mwenye kitita zaidi ya Josh