Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Felister usinambie na wewe ni single mother?

Dah kama ndio hivyo aisee hawa wanaume wabaya sana,binti mpole kama wewe wanakuzalisha kisha wanasepa [emoji27]
 
Umeongea kwa uchungu sana single mother...
 
Wanaume wanaooa singomaza wanataniwa umeanza mechi ukiwa ushapigwa bao Yani 1-0
 
Waacheni single maza's waenjoy life...kwanza ukioa single maza unakua na uhakika wakupata mtoto, sio unaoa toto limetoa mimba saba hadi na kizazi mnaishia kuhama makanisa kusaka miujiza.
Pia single maza's watamu sana kwenye 6*6 wanatoa yote hawabaniiiii, unafaidi vinono.

Nitaoa yeyote mradi tuendane.
 
Aiseee!!!

Nipo tayari kukolekti povu lote litalofuata hapa, nina coaster kama tatu zinanisubiri nizioshe na bosi hajaacha hela ya sabuni
 

Babe achana naye huyo, ametoka usingizini huyu. Kwema lakini mrembo wangu Depal πŸ₯°πŸ₯°
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duuh we kumbe ni mkalii
 
[emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…