naina19
JF-Expert Member
- Oct 8, 2019
- 294
- 510
Bora ingekua ya kanisa malipo yangekua mbinguni.... hahahaaWanafanya kazi ya kanisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ingekua ya kanisa malipo yangekua mbinguni.... hahahaaWanafanya kazi ya kanisa
Felister usinambie na wewe ni single mother?Mbona na wewe umeyaleta ya single mother's sasa? Hicho ni kihere here au unajifunza kuanzisha Uzi ?
Wacha kiherehere maana tuna kama miezi zaidi ya mi2 hizo mada hazipo....na aliyekwambia tunajuta ni nani? Kwani tulishakuja humu kuwaomba child support?!/
Acha hizo kijana..
Umeongea kwa uchungu sana single mother...Mbona na wewe umeyaleta ya single mother's sasa? Hicho ni kihere here au unajifunza kuanzisha Uzi ?
Wacha kiherehere maana tuna kama miezi zaidi ya mi2 hizo mada hazipo....na aliyekwambia tunajuta ni nani? Kwani tulishakuja humu kuwaomba child support?!/
Acha hizo kijana..
Wanao sema hivo ni only 'narrow minded and parochial', hata nikianza match 3-0 nikiwa najitambua na najua malengo yangu kuliko anae anza match na 0-0 match inaisha amefungwa 5-0 upi boraWanaume wanaooa singomaza wanataniwa umeanza mechi ukiwa ushapigwa bao Yani 1-0
Kwa nini unashangaa kwa huyu Kama kwamba Single mother ni ugonjwa au ulemavu.Felister usinambie na wewe ni single mother?
Dah kama ndio hivyo aisee hawa wanaume wabaya sana,binti mpole kama wewe wanakuzalisha kisha wanasepa [emoji27]
Mbona na wewe umeyaleta ya single mother's sasa? Hicho ni kihere here au unajifunza kuanzisha Uzi ?
Wacha kiherehere maana tuna kama miezi zaidi ya mi2 hizo mada hazipo....na aliyekwambia tunajuta ni nani? Kwani tulishakuja humu kuwaomba child support?!/
Acha hizo kijana..
Mbona na wewe umeyaleta ya single mother's sasa? Hicho ni kihere here au unajifunza kuanzisha Uzi ?
Wacha kiherehere maana tuna kama miezi zaidi ya mi2 hizo mada hazipo....na aliyekwambia tunajuta ni nani? Kwani tulishakuja humu kuwaomba child support?!/
Acha hizo kijana..
😂😂😂😂😂😂😂Waacheni single maza's waenjoy life...kwanza ukioa single maza unakua na uhakika wakupata mtoto, sio unaoa toto limetoa mimba saba hadi na kizazi mnaishia kuhama makanisa kusaka miujiza.
Pia single maza's watamu sana kwenye 6*6 wanatoa yote hawabaniiiii, unafaidi vinono.
Nitaoa yeyote mradi tuendane.
Wanaume hamna maana nyie 😀😀Felister usinambie na wewe ni single mother?
Dah kama ndio hivyo aisee hawa wanaume wabaya sana,binti mpole kama wewe wanakuzalisha kisha wanasepa [emoji27]
Hii ipo kwenye katiba gani? Au kitabu gani cha dini kina haya maandiko Superbug?Single mothers jf ni nux hata uwe mzuri kiasi gani ila kama ni sm kwishney thamani
Akikujibu niiteKwa nini unashangaa kwa huyu Kama kwamba Single mother ni ugonjwa au ulemavu.
Paula Paul sio rahisi huyo kukuelewa hahaaHii ipo kwenye katiba gani? Au kitabu gani cha dini kina haya maandiko Superbug?
Jamani😀😀😀😀Aiseee!!!
Nipo tayari kukolekti povu lote litalofuata hapa, nina coaster kama tatu zinanisubiri nizioshe na bosi hajaacha hela ya sabuni
Duuh we kumbe ni mkaliiMbona na wewe umeyaleta ya single mother's sasa? Hicho ni kihere here au unajifunza kuanzisha Uzi ?