Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ila la kuendelea kupigwa na baba wa mtoto kwa hilo hawajielewi
 
Yani nimemuoa kajala masanja sasa hapo kwaiyo yule mwanae paula si dhambi nikipita naye maana sina undungu na P FUNK miye si ndio kiongozi😁😁😁😁
 
Sasa unapowa generize ma single mom unakuwa unakosea sababu kuna ambao wamekuwa hivyo kwa different circumstances, wengine walibakwa wakapata ujauzito wakaishia kuwa single mom, wengine walifukuzwa na waume zao ikabidi kuanza kupambana kivyao so wakajikuta wanakuwa single mom, wengine walipewa mimba zikakataliwa na wahusika hawakutaka anything to do with the pregnancy, so mtu akaamua tu kuzaa na kulea mwenyewe so anajikuta anakuwa single mom, so usiangalie tu upande huo unaujua mwenyewe na ukawashawishi na wenzio humu, single mom ni mwanamke tu kama mwanamke mwingine na ana chance tu ya kuolewa na mtu atayependana nae na akafurahia tu maisha ya ndoa. Mind you mimi sio single mom, ila ni mwanamke so sijui ya leo wala ya kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwanamke au mwanaume anayetaka kuwa single parent. Ndiyo! Kuna mazingira yanakulazimisha uwe single parent 100% na hauna option ya kuubadili ukweli. Kingine usifuate kile mtu anasema. Jaribu kushughulisha akili yako vizuri utapata jibu lenye uhakika. Umefikisha miaka 30 na haujapata mwanaume wa kukuoa kwahiyo ukae bila mtoto kisa kuna binadamu kasema kuwa kuoa single mother ni ujinga.
Yaani hata mimi kuolewa na single dad naona ni ujinga...yaani kama yule dada mzuri alimzalia mpaka na mtoto na bado alimshindwa mi ntamuwezea wapi sasa...#SayNoToSingleDadies#
 
Single mother mnawaponda huku jf lakin mtaani mambo tofauti kabisa single mother wanaolewa kila siku na nyumba wanajengewa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…