Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hayo yote nayaelewa mkui..hii ilikuwa ni clap back yangu kwa mtoa mada
 
Sweetiepie, That's very true...sometimes life is not about where you from but where you plan to go.....
Being single mom is the matter giving birth/life to someone nothing else...haina maana kuwa ww ulikuwa muhuni bali ulikuwa na courage ya kubeba mimba na kuzaa.
Kuna wanawake kibao tunaowaona hawana watoto lakini wame abort zaidi ya mara moja...je hao ndo wanafaa...????
So ku genearalize to all single mom is wrong.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akipata mimba mnaitanaje humo ndani?

baba wa kambo :Baba pia Babu
Mama mzazi:Bibi
Wadogo wa Kiume:Mjomba
Wadogo wa kike:Mamdogo
 
Single hivi mna nini?

Muda wote kukasirika

Mnajifanya wajuaji


Naongea hivi nikiwa na hasira Kuna single mother mmoja Ndugu amekuwa ananiudhi kila wakati sasa nashindwa kuelewa uwa mnalazimishwa kuwa single mother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haudumii jamaa alikataa mimba,mwanamke alivyojifungua jamaa akajileta mwanamke akamwambia buna mtoto apa
Mtoto akipata akili ya utambuzi tu, baba yake atarudi kujitambulisha upya kwake. Ni hapo ndipo ndoa yako itakapo anza kupata MISUKOSUKO Mkuu.
 
Wakubwa

Heri ya Noeli kuna story ambazo zinaendelea ambazo zinaendelea hadi sasa hivi.

Hivi tuwe wa kweli hivi iuna shida Gani kati ya tabia ambazo Wadada waliobahatika kupata watoto aidha katika ndoa na kuachika au wale waliobahatika kupata Mtoto ndani ya Uchumba?

Kitu Gani kina wafanya muwa na aina fulani ya Maisha yenu mpaka mnakuwa ni Gumzo kwenye hoja nyingi humu ndani?

Haijalishi huyu Single Mother ana kazi au hana kazi au ana biashara au hana biashara au kwao kuna maisha mazuri au hakuna au ni baa maid au basi mjasariamali wa kawaida.

Kwa nini mna aina fulani ya Tabia zenu ambazo imekuwa chukizo kwenye Jamii?
ilia mauaji mengi kwenye mahusiano Nimefuatilia sana maada nyingi humu zinawasema Vibaya mno?

Ukifuatilia maumaji mengi utakuta lazima Mama awe tayari alishakuwa kwenye mahusiano?

Shida nini ili tupone kuwa na kusikia mauwaji yanayoendelea?

Naumia Mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…