Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kijana bado hujaoa na wala huna mtoto afu unatafuta mwanamke aliyezaa tayari? Hapana, kuna shida hapa sio bure. Mkuu hebu kuwa muwazi bhana!!!
 
Hata Mimi ningekuwa me ningeoa mwanamke mwenye mtoto tayari walau mmoja! Kwanza mwanamke alozaa anakuwa amepevuka tayari. Anajua maana nzima ya Raha ya mapenzi😋! Lock zote zinakuwa zimetoka!🤭!( Hii ni kwa wale wajuzi tu)
😂😂
Wacha weeh
 
Aisee pole sana mdau kuoa single mother sio opportunity ya ndoa kutokuwa na mikwaruzo,mm ni shahid nimekutana na single mother nimemhandle na kumjali mpaka nakumbuka ipo siku alikiri kwa mdomo wake kuwa mm ndio mwanaume nilieweza kumrudishia tena furaha maishani mwake lkn alichokuja kunifanya siwataman tena single mama
 
Ukioa Mwanamke Mwenye Mtoto Unapata Faida
Suala La Kuitwa Mgumba Ama Vinginevyo Halipo
😁😂😀😅😄😃😃🤣🤣
 
Aisee pole sana mdau kuoa single mother sio opportunity ya ndoa kutokuwa na mikwaruzo,mm ni shahid nimekutana na single mother nimemhandle na kumjali mpaka nakumbuka ipo siku alikiri kwa mdomo wake kuwa mm ndio mwanaume nilieweza kumrudishia tena furaha maishani mwake lkn alichokuja kunifanya siwataman tena single mama
Shukuruni Kwa Kila Jambo!!!
Ipo Siku Atakukumbuka Yaani Atarudi Kwako Ila Atakuwa Amechelewa Tayari.
 
Kwa miaka ya zamani hasa tuliokulia kijijini ndio tukaingia downtown, iliaminika kua wanawake ambao wana mtoto tayari bila kuolewa most of them ni wife material kwa ku assume kua kila kitu anakijua na ameshaona “mitihani” ilivyo so ukimuoa hautajuta.

Na kwa wazee wengi ambao vijana wao walikua wamefika umri wa kuoa ambao either wana mambo ya ujana au kutojitambua basi wazee walimtafutia au kupenda kijana wao apate mwanamke singo maza, nina mifano mingi ambayo vijana wa zamani walioa wanawake waliokwisha kuzaa na ndoa zikawa imara, mostly wanawake walikua “think tanks”! Najua wengi tuna ndugu aliyeoa mke mwenye mtoto!

Kwa kizazi chetu kuanzia 80’s kuja juu mambo ni tofauti-single mothers wengi narudia wengi ila SIO WOTE ni watu wenye stress na baadhi ni vimeo visivyobebeka at your own risk!

simply ukijiingiza kizembe kwa BAADHI yao ukiwa hujaoa utajuta na nafsi yako, wengi ni zile mimba za club au za “nisaidie term paper kule chuoni” mbaya zaidi baadhi yao unaweza weka ndani alafu bado kukawa na kajamaa kanakuja tena kumega!
 
Ni mwaka wa Pili na nusu sasa natafuta mke wa kuoa. Nimeweka sifa kuu moja ni awe na mtoto. Nakumbana na kizingiti kimoja kikubwa kwamba nidhibitishe kama kweli nitaweza kumtunza mtoto asiye wangu. Nakubali, lakini imekuwa vigumu kuaminiwa kwalo. Napigwa tarehe nyingi sana na wengi sana.

Je, hili nalo tatizo? Ni nini chanzo?

Nahisi jinsia ya 'ME' na 'KE,' kama- PAKA- na -PANYA-.
Kua serious waelewa wapo utapata tu.
 
Back
Top Bottom