Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Au sio?nakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au sio?nakuja
Niko poa boss habari[emoji1787][emoji1787][emoji1787] uko poa?
5 na nna mimba!Una watoto wangapi? Tuanzie hapo
Sidhani.kama ni woteHakikisha na ww umeona kaburi la baba wa mtoto,,,
La sivyo utakuja kuomba ushauri ni kamba gani inafaa kujinyongea
Shida sina....labda WeweKijana bado hujaoa na wala huna mtoto afu unatafuta mwanamke aliyezaa tayari? Hapana, kuna shida hapa sio bure. Mkuu hebu kuwa muwazi bhana!!!
bebe upo
namtania tu bebe ata siendAu sio?
hawa mabaharia wengine huwa hawajaribiwi ujue.namtania tu bebe ata siend
huyo hana madhara usijali mpenzihawa mabaharia wengine huwa hawajaribiwi ujue.
😂😂Hata Mimi ningekuwa me ningeoa mwanamke mwenye mtoto tayari walau mmoja! Kwanza mwanamke alozaa anakuwa amepevuka tayari. Anajua maana nzima ya Raha ya mapenzi😋! Lock zote zinakuwa zimetoka!🤭!( Hii ni kwa wale wajuzi tu)
Hata Mimi ningekuwa me ningeoa mwanamke mwenye mtoto tayari walau mmoja! Kwanza mwanamke alozaa anakuwa amepevuka tayari. Anajua maana nzima ya Raha ya mapenzi😋! Lock zote zinakuwa zimetoka!🤭!( Hii ni kwa wale wajuzi tu)
😄😄Comments za wknd hizo...potezea maa!Lock gani hizo na sisi tuhamasike kuingia Chamani 🤣
Shukuruni Kwa Kila Jambo!!!Aisee pole sana mdau kuoa single mother sio opportunity ya ndoa kutokuwa na mikwaruzo,mm ni shahid nimekutana na single mother nimemhandle na kumjali mpaka nakumbuka ipo siku alikiri kwa mdomo wake kuwa mm ndio mwanaume nilieweza kumrudishia tena furaha maishani mwake lkn alichokuja kunifanya siwataman tena single mama
Kua serious waelewa wapo utapata tu.Ni mwaka wa Pili na nusu sasa natafuta mke wa kuoa. Nimeweka sifa kuu moja ni awe na mtoto. Nakumbana na kizingiti kimoja kikubwa kwamba nidhibitishe kama kweli nitaweza kumtunza mtoto asiye wangu. Nakubali, lakini imekuwa vigumu kuaminiwa kwalo. Napigwa tarehe nyingi sana na wengi sana.
Je, hili nalo tatizo? Ni nini chanzo?
Nahisi jinsia ya 'ME' na 'KE,' kama- PAKA- na -PANYA-.