Siwabezi ila natamani mabinti wapanue ubongo.Tatizo LA single mothers litakuja kuathiri jamii nzima including Mimi na wewe so tusiwabeze sana maana tutaumia baadae.
Siwabezi ila natamani mabinti wapanue ubongo.
Kweli. Maamuzi hata ya ugaidi ni rahisi.Ubaya hawaoni mbali wao wanangakia sasa tu, ila angalia marekani au kama wewe ni mpenzi wa crime and investigation utaona athari ya watt wanaolelewa na mzazi mmoja maana matendo yao yana athiri jamii nzima
Kweli mkuu naunga mkono hojaSiwabezi ila natamani mabinti wapanue ubongo.
Utafiti usio rasmi
Hahahahahhhh i love you my dear SakayoSamahani
Mbona we hujamtaja espy,sky,madam s,madam B, demi, kapeace,joanah ,husna na wengine weeengi. Yeye alitoa mfano kama wewe ulivyotoa Mkuu!!! Hiyo dhana ya chuki na makundi sii nzuri kabisa. Unawezaje mchukia usiyemjua jamani!!!
Kukiwa na single mothers lazima kuwe na single fathers pia! Hakuna upande unaostahili kulaumiwa/kusifiwa.... ndo maana wanaitwa single parents which includes both father and mother!Hahaaa. Hapo chacha.
Hawajui ni sehemu ya maisha tu hiyo na sidhani kama kuna mwanamke ambaye amependa awe hivyo.
Acha kutetea mkuuKukiwa na single mothers lazima kuwe na single fathers pia! Hakuna upande unaostahili kulaumiwa/kusifiwa.... ndo maana wanaitwa single parents which includes both father and mother!
Besides, kichwa cha habari kinasema wamekuwa tishio lakini context haioneshi ni tishio kwa namna gani!
tupe nawe experience yako mkuuKuna kaukweli hapo. Lakini sio wote mkuu