Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mada imetumia takwimu zisizo sahihi lakini kuna ukweli kuwa rate ya familia kuwa mzazi mmoja inaongezeka na haisababishwi na vifo bali kuachana. Unaweza kuangalia kasi ya kuachana kwa nchi za wezetu ilivyo inatisha. Kwa hapa Tz ni ngumu kuipata kwasbb hakuna utafiti au rekodi lakini ktk miaka michache ijayo ukizingatia na huu uchumi hali yaweza kuwa mbaya zaidi
 
Back
Top Bottom