Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Mkuu mbona unaukataa ukweliEbu tutake radhi sio wote wapweke humu
Wanawake wengi humu ni wapekwe wa kutupwa hivyo wako humu kupunguza stress zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona unaukataa ukweliEbu tutake radhi sio wote wapweke humu
Usiwe na papara nitakusaidiaKwani wewe ni jinsia ya kiume? Nilijua ni jinsia kama yangu!! Haya nisaidie
Nitakushukuru sanaUsiwe na papara nitakusaidia
Una watoto wangap had sasa
Duh mbona umeanza kunitishaNitakushukuru sana
Ninao watano.
Kila mtoto na baba yakeDuh mbona umeanza kunitisha
Ni wa baba mmoja au kila mtoto na baba yake
Duh uko mkoa gan aiseeKila mtoto na baba yake
Unajua wewe kumbe unaweza kunizaa lakin nakuchezea tu hapaKila mtoto na baba yake
Yes ni mkubwa sana kwako, unaweza kuwa ni mwanangu wa 3 au 4.Unajua wewe kumbe unaweza kunizaa lakin nakuchezea tu hapa
Kuna ajabu gani kuwa single mother halaf ukitetea na we unaingizwa kwenye usingle mother wanaonijua wananijua nilivyoPole sana kumbe na wewe ni singo maza
Sio wote ndio mana nakupingaMkuu mbona unaukataa ukweli
Wanawake wengi humu ni wapekwe wa kutupwa hivyo wako humu kupunguza stress zao
Aisee mbona ndo nyumban mimi niko hapa big bitKona ya bwiru, mwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakushukuru sana
Ninao watano.
Kila mtoto na baba yake
Lakin walio wengi ni wapweke sana aisee mimi had huwa najiuliza sijui niwe nawagawia nusu ya mapato yangu yoteSio wote ndio mana nakupinga
Nitakuchek kesho hapo nikiwa naenda town mel leo imefika naenda kupokea mzigo wa kwenye maduka yanguOkaay!!
Hao wapweke ndio uwagaie hayo mapato yakoLakin walio wengi ni wapweke sana aisee mimi had huwa najiuliza sijui niwe nawagawia nusu ya mapato yangu yote
Hahahaaaaa kwahiyo wewe hutak sisterHao wapweke ndio uwagaie hayo mapato yako
Mie sio mpweke wape wapwekeHahahaaaaa kwahiyo wewe hutak sister
Hongera kwa hilo mbona naona kama umejiinamia yaan huna raha dada yanguMie sio mpweke wape wapweke
njoo inbobo nikupe mada za ukweliUtafiti wake feki kabisaa. Halafu huyu mleta mada hanaga mada za maana zaidi ya uongo uongo na uzushi