Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Hakuna sheria kama hiyo na hatatokea ngoja tuendelee kuwavua vyupSuluhu ni kuweka sheria itakayowafanya ninyi kuwaoa mnaowapa mimba! Coz u have this fucken behavior! Yaan unampa mimba halafu unatafuta flesh wa kuoa! Na ladies tuwe serious na mahusiano na decisions zetu unakuta jitu linasema kabisa! Natafuta mwanaume wa kunizalisha au mwanaume mwenye akili ya maisha nimzalie!