Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mbona miss chaga, agatha edward, mbitiyaza hujawataja?! Hampendani, mna makundi, na chuki kila kukicha
Samahani
Mbona we hujamtaja espy,sky,madam s,madam B, demi, kapeace,joanah ,husna na wengine weeengi. Yeye alitoa mfano kama wewe ulivyotoa Mkuu!!! Hiyo dhana ya chuki na makundi sii nzuri kabisa. Unawezaje mchukia usiyemjua jamani!!!
 
Bora umenisaidia kujibu mwaya.

Ubarikiwe. Sina haja ya kumjibu nadhani amekuelewa vyema lengo langu ni kutoa mfano kwa wadada 10 na si vinginevyo pia nadhani hajataka kunielewa.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Sa sijui ananufaika nini.

Au ndio kapima kwamba nyuzi za uongo uongo hasa zikihusisha wadada wa jf ndio zinakubalika majukwaani.
[emoji7] nimekupenda kweli, so brilliant, Comment yako imependeza zaidi. You are right kuhusu mtoa post huyo.[emoji28]

Cc. Emmyta
 
[emoji7] nimekupenda kweli, so brilliant, Comment yako imependeza zaidi. You are right kuhusu mtoa post huyo.[emoji28]

Cc. Emmyta
Ahsante sana mkuu

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Bora umenisaidia kujibu mwaya.

Ubarikiwe. Sina haja ya kumjibu nadhani amekuelewa vyema lengo langu ni kutoa mfano kwa wadada 10 na si vinginevyo pia nadhani hajataka kunielewa.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Anaelewa saaana tu mamy, ni vile tu kuna watu hawapendi amani!!!

Barikiwa na wewe mwaya!!!
 
Suluhu ni kuweka sheria itakayowafanya ninyi kuwaoa mnaowapa mimba! Coz u have this fucken behavior! Yaan unampa mimba halafu unatafuta flesh wa kuoa! Na ladies tuwe serious na mahusiano na decisions zetu unakuta jitu linasema kabisa! Natafuta mwanaume wa kunizalisha au mwanaume mwenye akili ya maisha nimzalie!
 
Hili tatizo Tz in 10yrs or 20yrs to come itakuwa disaster kubwa sn.

Maajabu videmu havina akili. Vina leta nyodo. Ma men wana wadampu fasta.

At 20s to 35 huwa wanaona raha sana. "Wanasema Niko huru, sinabanwi, mambo ya kupangiana staki, nakula bhata hadi nachoka, club,nk"

At 40 yuko lonely balaa. Ana 4 kids, @from a different man. Hapa ndio patamu..

Weee waache tu. Nigeria & Kenya Wana andamana hawaolewi, Tz wanawake wanachezea wanaume. Subirini...kiama kinakuja.
Seems ushachezewa rafu za lutosha!
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

dunia imeelemewa na wingi wa singo maza

Inasemekana palipo binadamu 10 kuna singo maza 7

Hata jamii forum kati ya wanawake 10 bas 9 ni singo maza

London kwa sasa iko mbion kuja na tiba mbadala ya kupunguza tatizo hili sugu ambalo kwa sasa limekuwa kubwa sana ulaya, america na afica hasa kwa kenya na tanzania

Wasomi kutoka chuo kikuu cha rumis huko america ya kusin wamesain waraka wa kumaliza tatizo hili

Msomi john cater amesema wako mwisho mwishon kuja na suluhisho la kudumu

LONDON BABY

Hapo na mimi ni singo mother lakini huu Uzi umenichekesha sana, sijui mtoa mada umefikiria nini kutunga uongo kama huu
 
Rafu men ndie anacheza siyo demu hapa Bongo. Huenda useme nime produce single moms wangapi??
Nooo rafu za mahusiano ni two ways! Unaweza kujitoa kwa mtu upo serious kumbe yeye anacheza na mind yako tuu!
 
Mada zingine unatakiwa uirushe jf wakati unaenda kijijini kumsalimia Babu,

Ukikaribia kijiji unairusha halafu halafu data unazima siku saba ukija kuwasha unakuwa na panadol pembeni kwa ajili ya kutuliza maumivu wakati ukisoma taratibu madongo uliyorushiwa.

Ukweli mwingine kuuongea unaumiza na kuongeza maadui.....!
 
Nooo rafu za mahusiano ni two ways! Unaweza kujitoa kwa mtu upo serious kumbe yeye anacheza na mind yako tuu!
Kweli, (Ni wote) matokeo yake Single mom anapatikana baadae.
 
Back
Top Bottom