Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

kwa utafiti wangu hali hii itaongezeka sana mbeleni, Hao masingo maza wenye umri wa kati wanasumbua vijana ambao nao hulowea kwenye kulishwa, mwisho wa siku hawezi oa, na kiukweli me ni wachache sana. Na miongoni mwetu si ridhiki.
 
Siku moja nitafuraji single mothers wakijiweka wazi humu ili haya matatizo ya kusemwa yaishe
 
Back
Top Bottom