Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Hebu ona sasaYaani tabia mbaya tu kwani usingle mother ni dhambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu ona sasaYaani tabia mbaya tu kwani usingle mother ni dhambi
vijana wanna tabu sana my dada.Nifuatilie interview zina nini?
Ndio sababu huwa mnazishabikia ili mpate pa kusemea, sababu huwa wanaume hamkaukagi kwenye hizo interview.
Nimeelewa sasa mkuu.
Nafanya utafiti na mimi tayari nimejua wewe si singoma'..!Nimechangia mada
HahaaaaaaaaHuu uzi itakua ngumu kuaminika sababu una makorogesheni ya kiwango cha dr Louis..
wanaoshika namba moja huwa wanakuwemo tu,yani kwenye 10 watoke 9!!
ndo nipo nimeshika praize hapa natafuta kamba,bisibisi zipo mfukoni,ye naona kashika mwiko! ndo nakimbilia leki milango naona imefungwa itakuwa jilani kafunga
Loading...
Ndiyo mimi singo maza Mkuu una lingine?Nafanya utafiti na mimi tayari nimejua wewe si singoma'..!
Nisaidieni natafuta singo mama hapa jf niweke ndani, huhuhuhuhh!
Shida mnaficha mpk hapo badae.
Tatizo wanawake wengi hawajielewi mumekalia mizinga mawigi na makucha kama majinHahaaa. Hapo chacha.
Hawajui ni sehemu ya maisha tu hiyo na sidhani kama kuna mwanamke ambaye amependa awe hivyo.
Wangap wametelekeza kwakoHawawapendi wakati wenyeww ndiyo chanzo, wanaume wote wasipowatelekeza watoto wao kuna mtu atakua single mother?
Tatizo la humu mumy eti ukichangia tu basi nawe ni mmoja wapo. Lol.Nimechangia mada
Ila unadeserve to be a maza??Ndiyo mimi singo maza Mkuu una lingine?
Suluhisho la kudumu mhamie dunia nyingine tofaut na hii ya sasahaya twasubiri suluhisho la kudumu
Ha ha ha unawapa tu majibu wanayopenda kuyasikiaTatizo la humu mumy eti ukichangia tu basi nawe ni mmoja wapo. Lol.
Pamoja pamojaktk ubora wako
Niaje
Hapana si -deserve ndiyo maana nikawa singo mazaIla unadeserve to be a maza??
Hahahaaa. Umeshahama mada lol.Tatizo wanawake wengi hawajielewi mumekalia mizinga mawigi na makucha kama majin
Mtakuwa singo maza mpaka mkome
Fresh kaka vipNiaje