Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

kwa utafiti wangu hali hii itaongezeka sana mbeleni, Hao masingo maza wenye umri wa kati wanasumbua vijana ambao nao hulowea kwenye kulishwa, mwisho wa siku hawezi oa, na kiukweli me ni wachache sana. Na miongoni mwetu si ridhiki.
Duh
 
Hili tatizo Tz in 10yrs or 20yrs to come itakuwa disaster kubwa sn.

Maajabu videmu havina akili. Vina leta nyodo. Ma men wana wadampu fasta.

At 20s to 35 huwa wanaona raha sana. "Wanasema Niko huru, sinabanwi, mambo ya kupangiana staki, nakula bhata hadi nachoka, club,nk"

At 40 yuko lonely balaa. Ana 4 kids, @from a different man. Hapa ndio patamu..

Weee waache tu. Nigeria & Kenya Wana andamana hawaolewi, Tz wanawake wanachezea wanaume. Subirini...kiama kinakuja.
Ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Ukisikia chumvi hii sasa ni chumvi.

Hivyo tukaapo ukhuty Shunie Numbisa elvee Neybright Bacyclerbacy Sakayo emmyta Linamo joanah tisa kati yetu ni single mother. Duuh.

Single mother jf wapo ila sio kwa kiwango hicho.
Amekosa la kuandika!!!

Kuna mmoja humu alikuwa ajisifia ako na watoto wanne kila mmoja mamake, halafu hapo wa kulaumiwa eti ni single mother !!! Huwa sielewi hapo inakuwaje yaani..

Hamna mzazi anaependa kulea mtoto mwenyewe, ni maisha tu ndo husababisha ila wenzetu huona ni udhaifu!!!
 
Africa siyo africa
Tanzania siyo tanzania
Kenya siyo kenya
Amerika siyo amerika
n.k , n.k
 
Back
Top Bottom