Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Upo Sawa
Tatizo mnadhani kila single mother amekimbiwa, wapo waliowakimbia wanaume waliozaa nao
Wengine Hawakuwa Na TatizoHilo Nalo Neno Ambalo
Ukikaa nae tu zaidi ya mwezi anaenda kumchukua mtoto wake kijijini, unashangaa unaanza kuitwa Baba Maureen na wakati wewe huna mtoto.
Hilo Jambo Ni Baya Sana
Hapo Kazi Inakuwa Mbaya
 
🪑 Nipo na kitu changu na kashabu na kahawa.
 
Kwa hiyo mwanamke akipigwa matukio akaamua kuachana na hayo mahusiano yeye ndio anakuwa red flag?
 
Kwa hiyo mwanamke akipigwa matukio akaamua kuachana na hayo mahusiano yeye ndio anakuwa red flag?
Anaweza kuwa. Siyo mara zote. Ni kama ukiacha kazi halafu ukaenda kwingine kuomba kazi. Mwajiri makini lazima ajiiulize kipi kilikutoa huko ulikotoka. Kama ulionewa kwanini ulionewa. Huenda kuna namna na wewe mwenyewe ulichangia kupigwa matukio huko ulikotoka.
 
You are sick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…