Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ila kiukweli hizi topic zina impact mbaya sana kwa single mothers mana wengi hukatishwa tamaa sana wakisoma hizi topics ,pliiz tunawaalibia wengine chance za kuolewa naomba tuzipunguze kama inawezekana.
Ndio ukweli, ukioa single mother tegemea kuwa mzazi mwenzake ana chansi kubwa za kummega zaidi yako.
Imajini umemkunja staili ya kifo cha mende anakuangalia machoni kumbe anamuwaza mzazi mwenzie, No offense, single mother wajane ndio wanaoleka!
 
Siyo wote huyo binti ni dhaifu kwa jamaa tangu zamani, red flag ni pale alipoamua kumtegeshea mimba.

Hii ishu ni two way traffic mfano mimi mjomba wangu na mzazi mwenzie, mjomba ndiyo hajamove on mjomba hua anaforce kingi si mchezo, ataenda kuanzisha ugomvi kisa binti yupo nyumbani na mtu mwingine.

Mara amnunie kisa hajapokea simu wakati walishaachana.
 
Talking of experience jamani kudate single mother inaitaji moyo wa chuma sana hii dunia ina changamoto sana , unaweza kupata single mother mzuri, katoka familia nzuri, Ila sasa connection za ada, mtoto kwenda kwa baba, doooh acheni tuu wadada kwa kweli huku ni kujitoa muhanga , fikirini decisions zenu kabla ya kutenda.
 
Kiukweli tumechoka na stori za single maza....wengi wenu jamiiforums mnazungumzia single maza ambao walikua kabla ya kuzaa walikua malaya...
Mabint kibao tunawaona wameolewa hawana watoto, lakini kitaani wanakanyagwa balaa na michepuko yao

Wapo wanaojitambua.....

Uzinzi na umalaya ni tabia ya mtu.....!
 
Sijaona tatizo hapo, nilichoona ni kuwa dada wa watu alikuwa anampenda mshikaji, na hili liko kwa gender zote siyo kwa wanawake tu
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Ngoja nipite kimya kimya hizi topic za single mothers zimekuwa nyingi sana
 
Siyo single mother mwanamke yeyote mwenye mwanaume aliyewahi kuvunja naye amri ya sita hata akiolewa anaendelea naye tuu.
 
Sio kwa ma single mother tu, demu yeyote yule ambaye alishamvulia pichu mwanaume siku akikutana nae hata kama kaolewa kwingine mzigo utaliwa tu, so msijipe moyo na wasio single mother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…