Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Issue sio kugongwa issue in nyie single mother kurudia kuliwa na aliyekuzalisha ...n kosa kubwa
We mi mmeo, we dada vp??
Ni kweli ni kosa kubwa balaaa.....wanaofanya hvo ni wale wasiokua na misimamo na akili aka mazezeta, wanaogongwa chini ya miti

Mi nna braza angu alimzalisha demu akaachana nae...huu mwaka wa tano demu hana habari nae kabisa braza analialia tu....

Nahisi inategemea na aina ya kuachana
 
We mi mmeo, we dada vp??
Ni kweli ni kosa kubwa balaaa.....wanaofanya hvo ni wale wasiokua na misimamo na akili aka mazezeta, wanaogongwa chini ya miti

Mi nna braza angu alimzalisha demu akaachana nae...huu mwaka wa tano demu hana habari nae kabisa braza analialia tu....

Nahisi inategemea na aina ya kuachana
Me wa kiume ww
Acha maneno ya ajabu
 
Ndio ukweli, ukioa single mother tegemea kuwa mzazi mwenzake ana chansi kubwa za kummega zaidi yako.
Imajini umemkunja staili ya kifo cha mende anakuangalia machoni kumbe anamuwaza mzazi mwenzie, No offense, single mother wajane ndio wanaoleka!
Huu ukweli hakuna atakaye ukubali
 
Issue sio kugongwa issue in nyie single mother kurudia kuliwa na aliyekuzalisha ...n kosa kubwa
Kosa kubwa sana!
Aliyetangulia katangulia tu.
Single mothera kama mnataka kuolewa na kutulia ktk ndoa kaoleweni na wazazi wenzenu. Hakuna mwanaume utaishi nae kwa amani ukiwa ulizalishwa na mwanaume mwingine na bado yiko mzima!
Kama vipi "KAWAUENI" kwanza hao wazazi wenzenu ndio muolewe, KAMA haiwezekani "kumuua" mzazi mwezio basi ujue na kuolewa na mwingine haiwezekani, itakuwa UNAFIKI tu.
 
Kuna tofauti ya demu sio singo maza na anagongwa na demu ambaye ni singo maza!
Huyu ambaye sio singo maza nikiamua kumuwekea "password" au "chata" langu ni rahisi akatulia nami!
Bado mtoto wewe, mademu kibao nawajua wameolewa wamewazalia watoto waume zao lakini wanagongwa balaaaa......uzinzi ni tabia ya mtu......kuna mademu wamezaliwa wana nyege 24 hrz hao ndo wanashida ukisafiri siku mbili ujue imekula kwako
 
Hapa tatizo ni hao wanavyokutana inabidi kuwe na utaratifu tofauti wawili hawa wasikutane peke yao kwa minajiri ya kumona mtoto hapo tatizo litakua solve.
Kwa upande wa kutokuaserious its normal tena sana kumbuka hawa walishakua wapenzi so ukostua staster gari inawaka wakati wowote hadi katokea mtoto jua mapenzi yalikua matamu
 
Ila kiukweli hizi topic zina impact mbaya sana kwa single mothers mana wengi hukatishwa tamaa sana wakisoma hizi topics ,pliiz tunawaalibia wengine chance za kuolewa naomba tuzipunguze kama inawezekana.
Hapana let's us talk ili hata wasio fahamu wajue pia
Heri ya mwaka mpya wakuu wote hapa JamiiForums


Kuna rafiki yangu mmoja hivi nilisoma naye chuo, huyu jamaa katika mwaka wake wa pili tangu aanze kazi alikutana na mfanyakazi mwenzie ambaye ni mtaalamu wa madawa ya binadamu (Pharmacist)

Wakaanza mahusiano ya mapenzi,lakini kiuhalisia jamaa yeye alikuwa naye kwa kujifurahisha tu kwa kuwa tayarialikuwa na mchumba wake lakini alikuwa anafanya kazi mkoa mwingine, akaamua amchukue huyu mfamasia kwa ajili ya kucheza rafu za hapa na pale na kuondoa upweke usio wa lazima.

Lakini kumbe mdada wa watu kajiongeza na hatimaye akamtegea jamaa siku zile za hatari, jamaa akiwa hana habari na mpango wa bibiye hatimaye akamtandika ujauzito, jamaa akaja juu kwamba kwanini ameshika ujauzito bila makubaliano? Akamwambia achoropoe,bibiye akagoma.

Basi jamaa kwa hasira akampiga kibuti demu,mahusiano yakafa lakini baadaye akasema wtashirikiana kumlea mtoto ila mapenzi yafe, mdada akasema haina shida.

Kwa hiyo kila mara wanatembeleana kwa ajili ya mtoto ila mambo ya mapenzi hakuna.

Sasa imepita miaka kama miwili hivi kajitokeza mshikaji mwingine anataka kuchukua mzigo jumla (kuoa), sasa katika process za utoaji barua, eti bibiye anampigia simu baba wa mtoto kuwa anataka kuolewa hivyo ampe ruhusa ya kuolewa ahahahahahhahahahah; jamaa akamwambia we olewa,unaniomba ruhusa kama nani wakati mi na wewe tulishaachana?

Kwa kufupisha stori, kiufupi pamoja na mchakato wa ndoa kuendelea lakini binti anaonesha matendo ya kidhaifu mno kwa mzazi mwenzie kiasi kwamba hata jamaa akiamua kuomba mzigo anaweza kupewa bila masharti; hali hii imefanya kutokea mgogoro mkubwa kati ya mume mtarajiwa na binti,mgogoro unaotokana na wivu wa mapenzi unaochagizwa na tabia ya binti kuwa dhaifu mno kwa mzazi mwenzie.

Kwa mujibu wa rafiki yangu anakiri kiukweli wakikutana na bibiye kwa ajili ya kumjulia hali mtoto, bibiye anakilegeza mno,yani anajiweka kiromantic na hayuko seriously sana kama mtu ambaye kweli anatarajiwa kuolewa.

Sasa, mimi naomba kuwauliza humu wana JF, Hivi ni sababu ipi haswa inayopelekea mabinti wengi kuwa dhaifu kwa wanaume waliozaa nao kiasi cha kuwapa wakati mgumu waoaji?

Hivi haiwezekani mkizaa mkaachana moja kwa moja bila kuwa na shauku ya kukumbushia mapenzi?
 
Issue sio kugongwa issue in nyie single mother kurudia kuliwa na aliyekuzalisha ...n kosa kubwa
Kosa kubwa sana!
Aliyetangulia katangulia tu.
Single mothera kama mnataka kuolewa na kutulia ktk ndoa kaoleweni na wazazi wenzenu. Hakuna mwanaume utaishi nae kwa amani ukiwa ulizalishwa na mwanaume mwingine na bado yuko mzima/ hai!
Kama vipi "KAWAUENI" kwanza hao wazazi wenzenu ndio muolewe, KAMA haiwezekani "kumuua" mzazi mwezio basi ujue na kuolewa na mwingine haiwezekani, itakuwa UNAFIKI tu.
 
Back
Top Bottom