Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Huyo boya tu hana msimamo na hiyo ni unaweza kuta yeye ndo mtongozaji na hata hiyo ndoa haipo na huyo mdada inaelekea mvuto wake ni fa fa fa fa
 
Malipo hapahapa duniani....kwa wote mnaowanyanyapaa single maza ngoja muingie kwenye ndoa....ndoa ni zaidi ya single maza ndugu zangu

Mungu yupo anawaona, wengi wanaojadili haya ni utoto unawasumbua, wanawaza tu ngono...uzinifu lakini kwa kafsha mnazowapa single maza kwa ku GENERALIZE kuwa wote hawafai haya ngoja tuone, time will tell....
 
JF inashangaza sana.

Kuna mada ambazo zimeshajadiliwa sana humu na bado zimeseviwa humu ila bado zinaanzishwa upya na kujadiliwa sana.

Mada hizo hasa ni kuhusu:-

● Single Mothers

● Vibamia

● Punyeto

● Mapenzi kinyume na maumbile / Tigo.
 
Malipo hapahapa duniani....kwa wote mnaowanyanyapaa single maza ngoja muingie kwenye ndoa....ndoa ni zaidi ya single maza ndugu zangu

Mungu yupo anawaona, wengi wanaojadili haya ni utoto unawasumbua, wanawaza tu ngono...uzinifu lakini kwa kafsha mnazowapa single maza kwa ku GENERALIZE kuwa wote hawafai haya ngoja tuone, time will tell....
Mkuu Watanzania tuna maradhi ya generalisation'.

Tukiongelea jambo moja basi akili haiwezi kufikiri jambo tofauti. Hapa wanasema single Mother hawachomoi lakini ukianzisha mada juu ya usaliti wa Wanawake haohao watawaponda (wameshasahau habari ya single mother!!).

Kama kugongwa Wasichana wengi wanagongwa/kusaliti sana (hasa pesa ikihusishwa).
 
Single mother mje mjitetee...eti ni kweli beki hazikabi kwa wazazi wenzenu?!


Jamaa akija tu chu.pi kwny msumari
haaaa pichu kwenye msumari...papuchi inahema..kama mo farah katoka kumaliza mbio za mashindano ya mbio ndefu
 
Huyo mwanamke ni mpumbavu angekua na akili huo ujinga asingefnya,yaan mtu anaonesha waz kabisa kua hakuhitaj still unamnyenyekea na kuuliza et niolewe mfyuu mtoto isiwe kigezo aisee ,mapenz yakiisha yangu yang hayakuhusu na yako hayanihusu..angeolewa tu jamaa atapataga taarifa nae akioa atasikia tu anamuliza kama nan wanawake wengne bhna hao ndo wanaofnya sngle mom tuonekane WA hovyo kumbe sivyo
nakuja pm mkuu
 
Talking of experience jamani kudate single mother inaitaji moyo wa chuma sana hii dunia ina changamoto sana , unaweza kupata single mother mzuri, katoka familia nzuri, Ila sasa connection za ada, mtoto kwenda kwa baba, doooh acheni tuu wadada kwa kweli huku ni kujitoa muhanga , fikirini decisions zenu kabla ya kutenda.
aiseee kuna MZEE mmoja aliwahi kuniambia kijana ogopa sana ktk maisha yko kuoa mke wamtu
nikamuuliza MZEE wawezaje kuoa mke ambaye ameshaolewa
akacheka kisha akanijibu inawezekana kabisa mwanangu
mke wamtu niyule aliyezalishwa na mpenzi wake kisha wakatengana
daaahhh militoa macho kama nimefumwa ugoni

but honestly sio wanawake wote wako hvyo '' wengine wamestaarabika jpo kuwa niwachache
 
Sio kweli. Hiyo tafiti yako inaweza kua kwenye 1% ya single mothers.
Wapo 70% walio move on na mahusiano mengine. 29% ambao wanalea watoto wao bila kutaka mahusiano mengine.

Watu mnasahau kua katika hao single mothers kuna wengine wamefiwa na baba watoto wao.
 
Kosa kubwa sana!
Aliyetangulia katangulia tu.
Single mothera kama mnataka kuolewa na kutulia ktk ndoa kaoleweni na wazazi wenzenu. Hakuna mwanaume utaishi nae kwa amani ukiwa ulizalishwa na mwanaume mwingine na bado yiko mzima!
Kama vipi "KAWAUENI" kwanza hao wazazi wenzenu ndio muolewe, KAMA haiwezekani "kumuua" mzazi mwezio basi ujue na kuolewa na mwingine haiwezekani, itakuwa UNAFIKI tu.
Hujakuwa bado wewe
 
Back
Top Bottom