hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaa anatka kukufnya nini mkuuMe wa kiume ww
Acha maneno ya ajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaa anatka kukufnya nini mkuuMe wa kiume ww
Acha maneno ya ajabu
kwa dunia yetu hii ya sasa ..ya simu za mkononi na app za watsaap Fblite hayo sahau mkuu ..hayo uliyosema ylipaswa kupewa kipaumbele wakati watu watu walipokuwa wanayatumia masanduku ya posta...Hapa tatizo ni hao wanavyokutana inabidi kuwe na utaratifu tofauti wawili hawa wasikutane peke yao kwa minajiri ya kumona mtoto hapo tatizo litakua solve.
Kwa upande wa kutokuaserious its normal tena sana kumbuka hawa walishakua wapenzi so ukostua staster gari inawaka wakati wowote hadi katokea mtoto jua mapenzi yalikua matamu
Haya bana, wee endelea kula vya watu siku wakija kuvichukua usilie.Hujakuwa bado wewe
Watamu kwa shoo, wa kutumika! Hii haina ubishi, ni watamu alafu wako cheap, hautumii nguvu unanasa kitu.Single maza ni watamu sn weka mbali na watoto
Mwenyewe ndio Mimi huyo mwingine me simjui nakula kwa nafasi yangu.Haya bana, wee endelea kula vya watu siku wakija kuvichukua usilie.
Hata ndani wapo vizur wanajua Ku care hivi vibichi utoto bado mwingi na sio viaminifu. Salute kwa single maza woteWatamu kwa shoo, wa kutumika! Hii haina ubishi, ni watamu alafu wako cheap, hautumii nguvu unanasa kitu.
Hiyo care ni fear ya kudampiwa, analazimika kuwa mtiifu.Hata ndani wapo vizur wanajua Ku care hivi vibichi utoto bado mwingi na sio viaminifu. Salute kwa single maza wote
Huyo Mzee boya tu alikuwa anakunyima fursa ya kufaidi utamuaiseee kuna MZEE mmoja aliwahi kuniambia kijana ogopa sana ktk maisha yko kuoa mke wamtu
nikamuuliza MZEE wawezaje kuoa mke ambaye ameshaolewa
akacheka kisha akanijibu inawezekana kabisa mwanangu
mke wamtu niyule aliyezalishwa na mpenzi wake kisha wakatengana
daaahhh militoa macho kama nimefumwa ugoni
but honestly sio wanawake wote wako hvyo '' wengine wamestaarabika jpo kuwa niwachache
Haki ya kumthibiti mwaume aliye zaa naye aipo. Walikuwa wakifanya starehe. Awaka wamekubaliana kuzaa.Heri ya mwaka mpya wakuu wote hapa JamiiForums
Kuna rafiki yangu mmoja hivi nilisoma naye chuo, huyu jamaa katika mwaka wake wa pili tangu aanze kazi alikutana na mfanyakazi mwenzie ambaye ni mtaalamu wa madawa ya binadamu (Pharmacist)
Wakaanza mahusiano ya mapenzi,lakini kiuhalisia jamaa yeye alikuwa naye kwa kujifurahisha tu kwa kuwa tayarialikuwa na mchumba wake lakini alikuwa anafanya kazi mkoa mwingine, akaamua amchukue huyu mfamasia kwa ajili ya kucheza rafu za hapa na pale na kuondoa upweke usio wa lazima.
Lakini kumbe mdada wa watu kajiongeza na hatimaye akamtegea jamaa siku zile za hatari, jamaa akiwa hana habari na mpango wa bibiye hatimaye akamtandika ujauzito, jamaa akaja juu kwamba kwanini ameshika ujauzito bila makubaliano? Akamwambia achoropoe,bibiye akagoma.
Basi jamaa kwa hasira akampiga kibuti demu,mahusiano yakafa lakini baadaye akasema wtashirikiana kumlea mtoto ila mapenzi yafe, mdada akasema haina shida.
Kwa hiyo kila mara wanatembeleana kwa ajili ya mtoto ila mambo ya mapenzi hakuna.
Sasa imepita miaka kama miwili hivi kajitokeza mshikaji mwingine anataka kuchukua mzigo jumla (kuoa), sasa katika process za utoaji barua, eti bibiye anampigia simu baba wa mtoto kuwa anataka kuolewa hivyo ampe ruhusa ya kuolewa ahahahahahhahahahah; jamaa akamwambia we olewa,unaniomba ruhusa kama nani wakati mi na wewe tulishaachana?
Kwa kufupisha stori, kiufupi pamoja na mchakato wa ndoa kuendelea lakini binti anaonesha matendo ya kidhaifu mno kwa mzazi mwenzie kiasi kwamba hata jamaa akiamua kuomba mzigo anaweza kupewa bila masharti; hali hii imefanya kutokea mgogoro mkubwa kati ya mume mtarajiwa na binti,mgogoro unaotokana na wivu wa mapenzi unaochagizwa na tabia ya binti kuwa dhaifu mno kwa mzazi mwenzie.
Kwa mujibu wa rafiki yangu anakiri kiukweli wakikutana na bibiye kwa ajili ya kumjulia hali mtoto, bibiye anakilegeza mno,yani anajiweka kiromantic na hayuko seriously sana kama mtu ambaye kweli anatarajiwa kuolewa.
Sasa, mimi naomba kuwauliza humu wana JF, Hivi ni sababu ipi haswa inayopelekea mabinti wengi kuwa dhaifu kwa wanaume waliozaa nao kiasi cha kuwapa wakati mgumu waoaji?
Hivi haiwezekani mkizaa mkaachana moja kwa moja bila kuwa na shauku ya kukumbushia mapenzi?
Hata huyo grown up akitaka kukudump inawezekana tu, maisha siyo magumu kiivyo, single maza juuuHiyo care ni fear ya kudampiwa, analazimika kuwa mtiifu.
Alafu usichanganye madawa, siongelei visichana vibichi, naongelea grown ups ila sio single mother.
haaaha utamu UPI unaouzungumzia mkuuHuyo Mzee boya tu alikuwa anakunyima fursa ya kufaidi utamu
Do not includeHuo ndo ukweli acha kubisha ...ndo mlivo
Utamu wa masingle maza mkuu, babu yako alikuwa anakunyima fursa.haaaha utamu UPI unaouzungumzia mkuu
it means mpka leo c ujui utamu wa papuchi au nimekosea kudefine
Hiyo ni kwa upande wako, unavyoona wewe si anavyoona mwingine, wapo single mama wanaojitambua na wenye msimamo na wameolewa na wana ndoa nzuri zenye afyaKosa kubwa sana!
Aliyetangulia katangulia tu.
Single mothera kama mnataka kuolewa na kutulia ktk ndoa kaoleweni na wazazi wenzenu. Hakuna mwanaume utaishi nae kwa amani ukiwa ulizalishwa na mwanaume mwingine na bado yiko mzima!
Kama vipi "KAWAUENI" kwanza hao wazazi wenzenu ndio muolewe, KAMA haiwezekani "kumuua" mzazi mwezio basi ujue na kuolewa na mwingine haiwezekani, itakuwa UNAFIKI tu.