Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Utamu wa masingle maza mkuu, babu yako alikuwa anakunyima fursa.
utamu wao nimeshawahi kuuonja mkuu
yaani niishi dar then iwe sijawahi kuwa muhanga wahiyo kitu ..wajukuu zangu nitawahadithia nini ?? hhaahaa
sasa sibora nirudi kolomije
 
Hiyo ni kwa upande wako, unavyoona wewe si anavyoona mwingine, wapo single mama wanaojitambua na wenye msimamo na wameolewa na wana ndoa nzuri zenye afya

Kupata single mama asiyejielewa usidhani ndo wote wako hvyo, unakosea sana mkuu
Tuna mitazamo tofauti, ndio uzuri wa binadamu.
 
Msi generalize hapa, sio kila single mama ana huo udhaifu, kuna wanaojielewa na wenye msimamo wamesonga mbele. Hzo ni tabia binafsi za mtu, kama alimtegea mimba basi ni mdhaifu sana kwa huyo rafikiyo, aidha alimpenda sana na ana mstumaini ya huyo baba mtoto kumrudia ndo maana bado anamtega
Bora ww unajielewa?!
 
Huyo dada atakuwa ana mapenzi tu na huyo mwanaume aliezaa nae na huyo anaetaka kumuoa ampendi ila sio kweli kwamba single mom hawawez kuachana na waliozaa nao ni uongo
 
Nyundo ndio inavunja jiwe ila sifa siku zote anapewa aliyeishika. Mwanamke ni nyundo na mshika nyundo ni mwanaume. Nyundo haiachwi ikavunja kila kitu, destination ya nyundo iko Kwa aliyeishika.
Sie yetu kisirisiri tuu hautajuaa jmn...
 
Hahahaaaa haya huyo dada itakuwa anafikishwa Kunako na mzazi mwenzie au Unajua siyo wote wanauwezo wakupotezea kirahisi hata wasio single mother Hiyo Hali inaweza mkuta mtu yoyote.
Nimekuelewa sana..
Asante kwa maelezo..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hamna dhambi mbaya mkeo akagongwe na mwanaume mwingine, hii ni dhambi kubwa sana na inauma sana!
Haikubaliki.
Ila wewe kugonga nje ruksaa sio...hahha mkuki kwa nguruwe eeeh...ndani ya ndoa game zenyewe za kichovuuu mixer km uliolewa kutoa nuksi tu kwnn usirudi kwa mkunaji wako kwa mfano..
Mtu anatoa dozi legevu kwa mkewe af anasimamia kucha balaa nje...mkeo na yeye asitoke auu...wanaume jiangalieni sanaa
 
hahaaa mkuu akili yangu bado imetenganishwa mbali mnoo nahuo ushauri wako...kwakuwa bado cjaamua kuoa ..
nikishakuwa Tayari nitalifikiria hilo ulilonisahauri
Kitu chochote unavyokichulia kwa mtazamo wako ndivyo utakavyoamini whether negative/positive, kwakuwa mtazamo wako ni positive kwa wasio single maza basi amini hivyo.
 
Nakuonaa nakuona unavopambanaa kwa raha zakoo sio...hahahaha haya bwn na story zako...ili tusome bila kuitwa itwa jitahd ufike level za Lara... mana saivi bado upo level ya Shigongo kwa mkali waoo Hussein Tuwa
Mmmh kumbe mmeshaunda na team
Na mmoja akandika Leo uzi wa lara 1 vs money penny ndani ya dk 5 JF wakautoa

Kuna mmoja akanifuata inbox akaniambia wewe ni zaidi ya Lara 1 nikamfukuza

Acheni ujinga wakulinganisha vipaji kila mtu Na talanta yake
 
Back
Top Bottom