Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ndio ukweli, ukioa single mother tegemea kuwa mzazi mwenzake ana chansi kubwa za kummega zaidi yako.
Imajini umemkunja staili ya kifo cha mende anakuangalia machoni kumbe anamuwaza mzazi mwenzie, No offense, single mother wajane ndio wanaoleka!
Kwani lazima awe anamuwaza mzazi mwenzie?pengine anamuwaza jamaa mwingine tofaut na mzazi mwenzie
Halafu nyie wanaume hamjui tu mnaweza sana kubadilisha akili ya mwanamke ...mpende sana,mjali,mtunze ye na mwanae
Ndo tunachotaka sasa atakumbukaje misri?mateso,kuachwa,maumivu?
Kuzaa na mtu sio sababu ya kuendelea kumpenda
We only love once ..na tukiacha tumeacha kweli
 
Talking of experience jamani kudate single mother inaitaji moyo wa chuma sana hii dunia ina changamoto sana , unaweza kupata single mother mzuri, katoka familia nzuri, Ila sasa connection za ada, mtoto kwenda kwa baba, doooh acheni tuu wadada kwa kweli huku ni kujitoa muhanga , fikirini decisions zenu kabla ya kutenda.
Hujapenda
 
Huu mwandiko kama vile we ndo jamaa mwenyew[emoji12] [emoji12] halafu sio wote wa hivyo mi nimezaa na jamaa lakini tunaonana january kwenye ada ya mtoto na hata nyege nae sina
We nawe umependwa si u funguke????
Basi uwe na nye.ge namm tuongeze wa pili
 
Kwani lazima awe anamuwaza mzazi mwenzie?pengine anamuwaza jamaa mwingine tofaut na mzazi mwenzie
Halafu nyie wanaume hamjui tu mnaweza sana kubadilisha akili ya mwanamke ...mpende sana,mjali,mtunze ye na mwanae
Ndo tunachotaka sasa atakumbukaje misri?mateso,kuachwa,maumivu?
Kuzaa na mtu sio sababu ya kuendelea kumpenda
We only love once ..na tukiacha tumeacha kweli
True Dear,tatizo watu wamekariri hawajui kua mtu ukiamua ku move on unaamua na maisha yanaendelea kama kawaida na unaanzaje kurud kwa mtu ambaye hakuona thaman yako??i repeat wanawake wapumbavu ndo watafanya hayo sio kwamba sngle mama ndo tabia tuliyonayo no a Big no kwa tunaojielewa na kujitambua huo ujinga hakuna
 
'Wanawake wapumbavu"........ Neno hili likitajwa na mwanamke ,huwa linadhihirisha kua nimwanamke anayejielewa ,anajitambua na aonaye uzi utenganishayo mazuri na maupumbavu.

I hope illuminata na Master Wangu ,mko poa !!.
 
tatizo kubwa wanajf huwa hamkutani na single mama wanaojielewa nyie mnakutana na matahira halafu mnajikuta kugeneralize
 
Back
Top Bottom